XXLIZ acha kumsingizia TB Joshua kwamba anatoa maagizo yote kwa martha. Kuna kipindi martha aliwatoza hela zaidi watu tbj mwenyewe akamwambia awarudishie na habari ziliwekwa mpaka facebook tbj akawatahadharisha macoordinator wote wakumbuke wito wao na wasitafute kunufaika kupitia shida za watu
Nakubaliana na wewe but mind you kama ni mtazamaji mzuri wa emmanuel tv haikuwa martha peke yake aliyefanya hivyo kulikuwa na other coordinators walionfanya the same eg zimbabwe. Na prophet alitoa agizo hilo baada ya coordinators wenyewe kureport kwake kuwa hiyo mia watu walikuwa wanalalamika sana kwamba it was too much for them . Stop making her look so evilish and greedy , kazi anayofanya ni kubwa hata kama hatakusaidia wewe amewasaidia wengine and only god is a judge. And you know better than me about that may be
Last edited by a moderator: