Coordinator wa SCOAN Tanzania

Coordinator wa SCOAN Tanzania

Hahaha...kumbe!!
Anyway Watanzania wengi ndivyo walivyo, wakishamfahamu Mungu basi wao hugeuka miungu wadogo wenye kutaka kunyenyekewa...
Lakini ashukuriwe Bwana, kwani yeye husema..."Utafuteni kwanza Ufalme wangu na Haki yangu na hayo mengine yote mtazidishiwa"...
Ukiona mtu anakuwa kikwazo kwa wewe kuutafuta uso wa Mungu, pambana maana pengine hapo ndipo ilipo Haki ya Mungu.
Siku zote mambo ya Mungu hayaji kwa ubwete ubwete...

Hii ni njia moja wapo ya kupambana Mkuu
 
U a very ryt mkuu,
Umesahau kina Dotnatha,na baadhi ya wabunge,na watu wny vihelahela ndo anakumbatia hata ukienda na kuwe na wa2 km hao utakavyojibiwa utajuta!
....na kuwasiliana na prophet wote tusadiane,kwa kutuma email, km ambavyo wengine wanafanya mpaka prophet atatuelewa
.....Its true that nchi nyingi ma coordinator wa nchi nyingine wako vzr ht km wanamapungufu yao,lkn angalia wanavyoenda nw n then,lkn Tz yaani hiki ni kikwazo!
Bt glory b to God kuna njia ya nyingin,unawasiliana nao online na unaenda fresh 2
christine ibrahim hebu tumwamgie contacts za T. B. Joshua tulifanyie kazi swala hili.
Tunaomba utusaidie ili tuanze kuwasaliana naye moja kwa moja.
Enough is enough
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwny suala la hela hapa,ni kweli huwa tunatoa 1700dola,bt kurudishiwa i think ni kutokana ulivyotoa...coz tuliotoa 1700 tulirudishiwa laki 4 karibia na nusu hvi....ss labda hyo alitoa chini ya dola 1700
...by the way,naomba kuuliza hivi visa huwa ni sh ngapi? Maana pale huwa tunaambiwa tutoe laki 1


Ni kweli kabisa. Hata mimi nimepewa forms za kujaza na kuambiwa gharama ni hizo hizo.
Tunaomba anayejua gharama za Visa
 
ngoja niwapigie wa2 wake waingie hum wajionee,maana tukiwaambia m2 wao alivyo wanajifanya hawaelewi
 
christine ibrahim hebu tumwamgie contacts za T. B. Joshua tulifanyie kazi swala hili.
Tunaomba utusaidie ili tuanze kuwasaliana naye moja kwa moja.
Enough is enough

Mi najua email 2.....ambazo ndo tuliambiwa tuwe tuna contact nazo.....www.scoan.org......@SCOANTBJoshua........tbjoshuaministries...hizo ndo nazifaham....ya fb pia wana page yao na leo wanakua online coz ni live...
 
Last edited by a moderator:
Watumishi wa Mungu huwa wananisahau sana. Juzi nilikua namsikiliza mzee wa upako anawaambia waumini wake eti wote walikua wananuka vumbi na walikua hawajui kutengeneza nywele,na wao wakampigia vigelegele.
 
Ni kweli kabisa. Hata mimi nimepewa forms za kujaza na kuambiwa gharama ni hizo hizo.
Tunaomba anayejua gharama za Visa

Unaweza ukaingia kwe website ya ubalozi wa Nigeria Tanzania ninatumaini watakuwa wameweka viwango. Au tusubiri kesho jumatatu tuwapigie kuulizia malipo ya visa.
 
Unaweza ukaingia kwe website ya ubalozi wa Nigeria Tanzania ninatumaini watakuwa wameweka viwango. Au tusubiri kesho jumatatu tuwapigie kuulizia malipo ya visa.
uniq ubarikiwe!
 
Last edited by a moderator:
Martha mnavyojadili kuwasiliana na TB Joshua straight humu akisoma mavi yanagonga chupi! Yeye alidhani watz bado ni wale wale wa nineteen kweusi! Atajuta kuanzishwa kwa Jf
 
Can that be another advanced Loliondo ministry under a nigerian "Ambilikile Mwaisapile"?

Kwa Babu ni kikombe maji ya mizizi na jero jero, ila kwa TB Joshua ni maji na dola kadhaa !
Ile wote kazi yao ni kutibu magonjwa na kuombea watu utajiri !
 
Unataka kwenda SCOAN. Pitia hapa http://www.scoan.org/visit/ fuata maelezo jaza kama inavyostahili. SCOAN watakujibu na kukutumia barua ya mwaliko. Nenda ubalozini ukaombe visa. Kata tiketi ya ndege ambayo ni stahili yako. Ukifika maswala ya mahali pakufikia utakuta wamesha kuandalia kwa jinsi ulivyo chagua unataka kukaa wapi. Utahudhuria ibada mpaka utakapo ondoka kurudi TZ. Na kweli utasema hakuna haja ya kuwa na Martha TZ ili uweze kwenda SCOAN.
 
Nyakati zamwisho watakuja manabii wa uongo (mwenye macho aambiwi tazama) Leohii mpaka nabii wa kike wapo, bado mpaka mutaletewa nabii shoga.
 
Unataka kwenda SCOAN. Pitia hapa Visit Us fuata maelezo jaza kama inavyostahili. SCOAN watakujibu na kukutumia barua ya mwaliko. Nenda ubalozini ukaombe visa. Kata tiketi ya ndege ambayo ni stahili yako. Ukifika maswala ya mahali pakufikia utakuta wamesha kuandalia kwa jinsi ulivyo chagua unataka kukaa wapi. Utahudhuria ibada mpaka utakapo ondoka kurudi TZ. Na kweli utasema hakuna haja ya kuwa na Martha TZ ili uweze kwenda SCOAN.

Asante sana mkuu kwa kutufungua macho.
Nadhani sasa tutajua cha kufanya.
Hakuna haja ya kupata manyanyaso kwa Martha.
Viva JF
 
Back
Top Bottom