Connection ya Hermonize imeniharibia Nofap challenge yangu

Wasanii wasikuhizi bongo mziki hakuna kila kukicha trends na jamii inalalamika lakini hawawajibishwi nchi nyingine kitendo kama hicho mikataba ya maana inafytwa shoo zinakata lakini Bongo ndio mauzo yanaongezeka unategemea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…