Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,433
- 283,700
aiseee !!!Wacha tu tutengeneze Lakezone Empire
Si mlitupa nchi wasukuma? Au mnafikiria Huyu ni yule Wa msonga?....
Zitto aliwaambia nendeni mkamsome Putin mkakataa lawama za nini?.....
aiseee !!!Wacha tu tutengeneze Lakezone Empire
Si mlitupa nchi wasukuma? Au mnafikiria Huyu ni yule Wa msonga?....
Zitto aliwaambia nendeni mkamsome Putin mkakataa lawama za nini?.....
Andiko dhaifu kweli !Je wanaqualification za nafas zao au hawana?kama wanazo wana haki kama Watanzania wengine...kama hawana ndio hoja..
Tatizo conflicts of interests ndo maana mashirika makubwa ndugu huruhusiwi kufanya kazi pamojaKua ndugu si tatizo swala kuitumikia nchi kwa weledi na mpaka sasa hakuna shida zaidi ya vijimaneno tu
Ni Mchaga wa kishumundu! Au Mzaramo wa Masanganya, inawzekana ni mhaya wa Kanyangeleko. Nasikia ni mpemba. Yote hayo yatakuaidia nini? Sisi haituhusu -ila anafanya kazi vizuri kwenye wizara aliyopangiwa.waziri ni muha wa kigoma,huko wanakotoka jamii ya ACT Wazalendo
uwezo wako wa kukonekiti mdogombona sijaona dots za kukonekti?