Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,903
Wewe kimekuuma nini? mpuuzi mkubwa, kwa hiyo watanzania wote unawafahamu wanakotokea?
Wewe kimekuuma nini? mpuuzi mkubwa, kwa hiyo watanzania wote unawafahamu wanakotokea?
Soma tena.Ndiyo maana kapewa kitengo.
OkSoma tena.
Aiseee!!!haya mkuu,nimekuelewa.Baba wa kambo ni msukuma aliyehamia Chato.
Waziri anatokea kigoma katibu Mkuu Mwanza connection wote ni watanzania wa kuzaliwa.Mhe Waziri anatokea Morogoro na Katibu Mkuu anatokea Mwanza kama sikosei hakuna undugu wowote.
Kilosa alitokea Mustafa mkulo ambaye alikuwa Waziri chini ya serikali ya awamu ya nne, pengine mchangia mada alikosea.Kamanda mimi sitaki kubisha sana, ukweli ndiyo huo jamaa kwao ni Kilosa kwa babu na bibi
SawaWaziri anatokea kigoma katibu Mkuu Mwanza connection wote ni watanzania wa kuzaliwa.
Noted mkuuKilosa alitokea Mustafa mkulo ambaye alikuwa Waziri chini ya serikali ya awamu ya nne, pengine mchangia mada alikosea.
Utakuwa sio binaadam wa kawaida!Najaribu kufungua jicho la tatu ila sijaona dots