Connecting the Dots: Waziri Mpango na Dotto James(MoF)

Connecting the Dots: Waziri Mpango na Dotto James(MoF)

Wazilankende origination! ~Kigoma…Bukoba…Burundi…Rwanda. Tumejipanga mtaisoma namba!
 
Yaani typical Tanzanian arguing for nothing!!!!! Kereuuwiiii tunerogwa na nani? Alishakufagaeeee?
 
Yaani typical Tanzanian arguing for nothing!!!!! Kereuuwiiii tunerogwa na nani? Alishakufagaeeee?
Ukiangalia vizuri utagundua ukabila upo na hapa Uchwara ndiyo kaupalilia haswa.
Soon origin yake ya ndani kabisa utaipata, Bahimas Empire


Dotto toto ya dada hiyo, halafu mweupe pee hajui kitu.
Kuna sehemu haingiagi anakwenda kumuita jamaa yake amuwakilishe
 
hii kitu ipo kwa watu wengi tu, mfano mbowe kawajaza wachaga wengi chadema
 
Kama hujui kaa kimya,hiyo morogoro ulimpeleka ww au?? Mwezi uliopita tu hapo TBC walirusha kipindi waziri yupo kijijini kwao kigoma huko,wana nchi wanamweleza kero za umeme,ww unadai kwao Moro!!

Nakumbuka kile kipindi, alikua anasema pia Prof Ndalichako pia ni wa Kigoma, akawa anawahimiza wanafunzi kusoma kwa bidii na mwisho akagawa elfu kumi kumi kwa wanafunzi watano waliofanya vizuri
 
Sio jambo la kushangaza kwa awamu hii ya 5. Tutegemee vioja vingi sana mpaka 2020.
Huyu sisonje ni mkabila sana lisu alimchana live nilifurahi sana,tangu akiwa Waziri alianzisha ukabila kwa kugawa nyumba za serikali kwa ditto na kimwana wake,eti mniombee watanzania,utaombewa na maruhani na sii binadamu halisi mfyuuuuu
 
Dr. P. Mpango ni Muha wa kigoma........na Dotto ni mzinza cjui msukuma lkn ni kanda ya ziwa......endeleeni kuropoka mitandaoni
 
Kama hujui kaa kimya,hiyo morogoro ulimpeleka ww au?? Mwezi uliopita tu hapo TBC walirusha kipindi waziri yupo kijijini kwao kigoma huko,wana nchi wanamweleza kero za umeme,ww unadai kwao Moro!!
Watu hawajui lolote ila wako mbele tu kuuficha ukweli, iyo morogoro sijui ndo asili ya nyanya ake??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa ni wateule wa Rais Magufuli, ila kuna taarifa zinazodai kuwa wawili hawa (Ndg. Dotto James ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Waziri Philip Mpango ambaye ni Waziri wa Fedha) ni ndugu na wote ni maswahiba wa 'mkuu wa kaya'.

Endapo tetesi hizi zina ukweli, tutarajie nini?

Kwa wanaowafahamu wawili hawa, tafadhali tusaidie kujua mbivu na mbichi.
Hahahahah umeandika usichokijua ....nakushauri achana na huo uzushi

Sent using Jamii Forums mobile app

 
na hiyo ndo point wanayotumia viongozi hawa wa ccm kuwajaza ndugu na watoto zao BOT, iv ww hauoni hapo kna conflict of interest?,wewe unadhani hawawezi kufanya maamuzi kwa interest zao au ya uko watokako?,serikali za afrika zimepoteza kabisa nguvu kazi hasa vijana wenye vision na creativity,vichwani wamejaza michezo ya ajabu km betting na upuuzi mwingine, kijana embu fungua bas iyo akili ,usituaibishe kwa ubashite wak,araaaaaaa

Ukimalizia na magavana wawili toka huko huko lazima tupigwe tu awamu hii
 
Trump alimteuwa mkwe wake kuwa mshauri wa Marekani, kamteuwa mtoto wake kuwa mshauri wake,

Kama wametimiza vingezo sioni kama kuna tatizo...
Unafananishwa marekani na Tanzania? Ujiulizi kwa nini trump kashindwa ondoa Obama care? Kwa nini watu wa chama chake walimpinga? Hapa bongo inawezekana kupinga mawazo ya kiongozi wako? Ndio maana watu wanataka mfumo haswa katiba maana hata ukivunja katiba kuna kipindi utatoka kwenye madaraka sheria itakubana tu angalia wakina chiluba baada ya kutoka kwenye madaraka sheria imechukua mkondo sio hivi kusewa baadhi ya viongozi hawaruhusiwi kupelekwa mahakamani wakistaafu hivyo mtu akipiga mishe anapitisha kwa muheshiwa kupoteza nguvu za kisheria
 
Sioni sababu yoyote ya watu kushangaa makabila ya Kanda ya Ziwa na Kigoma kuwa katika system kwani utawala uliopita walikuwa kwenye system makabila ya Kaskazini katika sector nyingi. Leo hii ndio mmeshituka kwa kuwa hampo katika system nn? Tulieni dawa iwaingie kwanza
 
Mhe Waziri anatokea Morogoro na Katibu Mkuu anatokea Mwanza kama sikosei hakuna undugu wowote.
Mpango hatokei Morogoro. Anatoka Kigoma. Mkuu, wazazi walitokea Kigoma. Yeye alizaliwa Bukoba. Mama akaolewa na mume mwingine. Baba wa kambo ni msukuma aliyehamia Chato.
 
Back
Top Bottom