Connecting the Dots: Waziri Mpango na Dotto James(MoF)

Connecting the Dots: Waziri Mpango na Dotto James(MoF)

Ex Spy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2007
Posts
333
Reaction score
2,838
Hawa ni wateule wa Rais Magufuli, ila kuna taarifa zinazodai kuwa wawili hawa (Ndg. Dotto James ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Waziri Philip Mpango ambaye ni Waziri wa Fedha) ni ndugu na wote ni maswahiba wa 'mkuu wa kaya'.

Endapo tetesi hizi zina ukweli, tutarajie nini?

Kwa wanaowafahamu wawili hawa, tafadhali tusaidie kujua mbivu na mbichi.
 
Duh Ndg Wawili Wote Wizara Moja Ya Fedha Wakiwa Kwenye Nyadhifa Za Juu Za Maamuzi.
Wilaya Mpya Ya Buhigwe Mkoa Wa Kigoma
Sehemu InaitwA Kasumo Huko Kwenda Burundi Na Mguu Tu.

Acha Nami Ningoje Majibu Ya Hawa Watu Wakoje
Huku Tukilishwa Yamini Uchumi Unakuwa Kwa Hali Nzuri Sana
 
Kama hujui kaa kimya,hiyo morogoro ulimpeleka ww au?? Mwezi uliopita tu hapo TBC walirusha kipindi waziri yupo kijijini kwao kigoma huko,wana nchi wanamweleza kero za umeme,ww unadai kwao Moro!!
Mkuu hakuna haja ya kupishana kwa jambo ambalo halina maslahi kwa nchi, mimi namfahamu hivyo inatosha.
 
sijaona sabab ya kuandika haya..kama wana sifa za kuwa ktk nafasi hizo basi waache walitumikie taifa..
 
Back
Top Bottom