tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,535
- 1,484
Poa mkuu , mi mdau wa football la ulaya kitambo, of course lizarazu alikuwa vizuri saana,mi nauna zamani wachezaji wengi walikuwa vizuri saana, kina Roberto baggio, Antonio conte, zizzou, cantona, mathias sammer, oliver bieohoff( mchawi wa vichwa),marceilly dessaily, super Mario basler, jurgen klinsman, youri djokaef,andreas kopke,tony adams, Michael laudrap , ALLAIN SHEARER, Darren peacock, david ginolla, karel pobosky, Ruud Gullit ,Lotha Matheus, etcAsante mkuu, kumbe unamjua Bixente Lizarazu beki machachali kabisa kuwahi kutokea katika sayari hii.
nilipokuwa mdogo huyu ndio alikuwa role model wangu na hata rafiki zangu wengi niliokua nao mpaka leo hii wananiitaga jina hilo.