Huko Beni si ndipo ulisema JWTZ wamevamia? Ukaandika kipropaganda zaidi. Sasa unaongea kama unajiumauma.BREAKINGNEWS:Msafara wa kamanda wa Operesheni za kijeshi wilayani Beni nchini DRC umeshambuliwa na mwanajeshi mmoja amefariki papo hapo.
Vikosi vya Tanzania Bado vina Pambana Bado hakuna Taarifa zaidi askari aliyefariki ni wa Wapi?
View attachment 612023
Chanzo ITV.
alafu wapewe nafasi UN kwenye mambo ya human rightsCongo kuna ukatili na unyama wa kiwango cha juu mno..!
Asante mkuu kwa taalifa
Mashujaa wetu wanamalizwa! Kila baada ya siku kadhaa shujaa anapotezwa!sasa hawa mashujaa wakiisha sijui tutabaki na akina nani tutakaowategemea!! Kweli shujaa wa kweli bado hajazaliwa!Sasa imetosha ni lazima nguvu nyingi itumike kurudisha heshima na kuwaenzi mashujaa wetu!
Asante yangu ni kwa taarifa.Asante yako ni ya "askari" kuuawa au?
Hii vita haina dalili ya kuisha na mwisho wake sio mzuri. Hapo wamuombe Mr Panki wa South Korea awasaidie tu.