CONGO: Msafara wa Kamanda wa Operesheni za kijeshi wilayani Beni washambuliwa na mwanajeshi mmoja auawa papo hapo

Mwenzenu napatwa na hasira sana dhidi ya Rwanda na Uganda kila naposikia habari za mashambulizi na vifo kwa askari wetu huko mashariki mwa DRC
Ni siku ya huzuni kila ninaposikia askari wa Tz amekufa angali akipigana, halafu wengine humu vitu visivyoeleweka.
 
Jeiwi tandikeni hao.Hata kama hamjaenda kupigana kama wanawachokoza safisheni hao kenge
 
Taarifa kama hizi zinatia simanzi na ukakasi, UN watupe majibu na njia ya kufikia suruhisho
 
BREAKINGNEWS:Msafara wa kamanda wa Operesheni za kijeshi wilayani Beni nchini DRC umeshambuliwa na mwanajeshi mmoja amefariki papo hapo.

Vikosi vya Tanzania Bado vina Pambana Bado hakuna Taarifa zaidi askari aliyefariki ni wa Wapi?
View attachment 612023


Chanzo ITV.

Hivi ' Wanajeshi ' wa Kike / Wanawake ambao nao huwa huko katika hizo ' Missions ' majukumu yao haswa huwa ni yapi / yepi? Nitashukuru sana nikijibiwa ila nami niweze ' Kumshawishi ' Mpenzi wangu ambaye pia ni ' Mchumba ' wangu ajiunge na ' Ujeda ' awe kama hao Wenzake.
 
Vita hii tutapoteza vijana wetu wengi. Ni ngumu sana kushinda vita ambayo, wanajeshi wako wanapigana na wanajeshi wa rafiki yako.
 
Watu badala ya kupambana na vyanzo vya uasi wao wanashughulikia uasi; siku Tanzania napo ukitokea uasi watu wataanza kujiuliza na kupambana na waasi.
 
Hivi Jeshi letu linazo sifa halisi kulingana na wanavyojisifu?
Kumbuka hata jeshi la Marekani linapoteza wanajeshi wake wengi tu hapo Somalia.....

Geografia ya Goma ni mbaya sana hao waasi wapo mlimani na kuna pori la kufa mtu wakiwafuata juu huwakuti....

Halafu mashambulizi yao ni ya kuvizia..... Mm naona kuna umuhimu qa kuwarudisha nyumbai hao askari wetu..... Rais atoke hapo ikulu kwa kuitisha uchanguzi
 
Mnaosema askari warudi nyumbani mnamaanisha warudi kwa kuwa vita ni ngumu ama nini, jamani msiojua masuala ya kijeshi na sheria za UN pisheni jukwaa libaki wazi,
Hii mission ni ndogo sana kwa JWTz na wiki chache zijazo mtasikia kitakachofanywa na jwtz huko Congo
 
Watakufa sana. As long As wanatetea uovu wa kabila na mataifa ya ughaibuni.... Ww hushangai chisekedi hajazikwa mpaka leo
 
Back
Top Bottom