MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 966
- 1,225
Sio south korea ni north korea bhana ndo anapotokea mr mapankHii vita haina dalili ya kuisha na mwisho wake sio mzuri. Hapo wamuombe Mr Panki wa South Korea awasaidie tu.
Sio south korea ni north korea bhana ndo anapotokea mr mapankHii vita haina dalili ya kuisha na mwisho wake sio mzuri. Hapo wamuombe Mr Panki wa South Korea awasaidie tu.
Nenda nawe uwe shujaa hahaha. Tatizo kama UN hawaruhusiwi kupigana wenyewe wanaenda kutenganisha sehemu zinazopigana. Wakianza kupigana ina maana wanasaidia upande mmoja. Hawa waTanzania wapo kule kwa kivuli cha UN au wanamsaidia Kabila?Mashujaa wetu wanamalizwa! Kila baada ya siku kadhaa shujaa anapotezwa!sasa hawa mashujaa wakiisha sijui tutabaki na akina nani tutakaowategemea!! Kweli shujaa wa kweli bado hajazaliwa!
Ukiona hivyo ni dalili ya Jeshi kujidadavua kuwa si la wananchi bali la viongozi wa nchi kwa matendoNi siku ya huzuni kila ninaposikia askari wa Tz amekufa angali akipigana, halafu wengine humu vitu visivyoeleweka.
Kwa teknolojia ya dunia ya Leo unataka kwenda muona muasi physically. Sasa UN wanashindwa weka surveillance drones ili kujua movement za waasi? Au magumashi inagharimu maisha ya vijana
Kumbeeeeeeh mkuuCongo kuna ukatili na unyama wa kiwango cha juu mno..!
Wapo upande wa UN, kwani mimi nimesema nini kilichokukwaza ndugu?mbona umenikejeli?Nenda nawe uwe shujaa hahaha. Tatizo kama UN hawaruhusiwi kupigana wenyewe wanaenda kutenganisha sehemu zinazopigana. Wakianza kupigana ina maana wanasaidia upande mmoja. Hawa waTanzania wapo kule kwa kivuli cha UN au wanamsaidia Kabila?
naanza kukuelewa ndugu yanguNilishaandika hapa kuwa hao wanaoshambulia peace keepers siyo waasi. Sababu waasi wanawahitaji sana peace keepers ili nao wapumue
These troops now they have a special mandate to fight back if they are attacked, or if they are threatened. Immediately.Wapo upande wa UN, kwani mimi nimesema nini kilichokukwaza ndugu?mbona umenikejeli?
Chunga kauli yako mkuu. Askari wetu si wa kutakiwa kifo kwa sababu zozote zile. Chuki yako na ibaki kwa CCM tu.Tangu walipo taka kumuua lissu kwa kutumia vyombo hivi,, niliwaona bora wafe tu hawana maana
Majukumu yao ni kubeba silaha na kupambana sambamba na wenzao wa kiume. Kwa hiyo kama unataka kumshawishi mchumba wako ajiunge huko, uwe tayari pia kumpoteza.Hivi ' Wanajeshi ' wa Kike / Wanawake ambao nao huwa huko katika hizo ' Missions ' majukumu yao haswa huwa ni yapi / yepi? Nitashukuru sana nikijibiwa ila nami niweze ' Kumshawishi ' Mpenzi wangu ambaye pia ni ' Mchumba ' wangu ajiunge na ' Ujeda ' awe kama hao Wenzake.
Hapana sheria ilishabadilishwa na kikosi chetu cha JWTZ kinaruhusiwa kupigana na ndio maana tulimfukuza M23 kwa kumpiga.Nenda nawe uwe shujaa hahaha. Tatizo kama UN hawaruhusiwi kupigana wenyewe wanaenda kutenganisha sehemu zinazopigana. Wakianza kupigana ina maana wanasaidia upande mmoja. Hawa waTanzania wapo kule kwa kivuli cha UN au wanamsaidia Kabila?
Majukumu yao ni kubeba silaha na kupambana sambamba na wenzao wa kiume. Kwa hiyo kama unataka kumshawishi mchumba wako ajiunge huko, uwe tayari pia kumpoteza.
Sasa mnataka ninyi mpishwe siti kama nani? Na msipogombania waendelee kuwapigisha kalijombwe hivyo hivyo. Eti dada zo mnasimama hadi gerezani, linapokuja suala la siti ndiyo mnakumbuka kuwa ninyi ni dada zao!!!Hao ndo wanaume sasa ,wako kazini
Sio wanaume wa Dar wanagombania siti za mwendokasi wakati dada zao tunasimama hadi gerezani
Kwani mada ni nini?Sasa mnataka ninyi mpishwe siti kama nani? Na msipogombania waendelee kuwapigisha kalijombwe hivyo hivyo. Eti dada zo mnasimama hadi gerezani, linapokuja suala la siti ndiyo mnakumbuka kuwa ninyi ni dada zao!!!
Who gave them such mandate?is it anywhere in their obligation to fight the fighters of any side affiliated? Or to protect themselves against whoever tends to fight them?These troops now they have a special mandate to fight back if they are attacked, or if they are threatened. Immediately.
You are probably right lakini hii mission imekuwa kichaa labda ndio maana kila wakati muda wake unaongezwa, however kama utasoma MONUSCO mandate UN peace keepers pamoja na kuwa na jukumu la kufanya neutralization they also have a role of providing military policing kwenye jamii and in that environment you are just like a sitting a duck kwa sababu you have to be more friendly than aggressive na ndio katika mazingira haya wanakula ambush.mjomba wale sio askari wa peace keeping, ila ni peace enforce, kwahy wanarusiwa kushambulia sio mpaka washambuliwe