CONGO: Msafara wa Kamanda wa Operesheni za kijeshi wilayani Beni washambuliwa na mwanajeshi mmoja auawa papo hapo

Wapo upande wa UN, kwani mimi nimesema nini kilichokukwaza ndugu?mbona umenikejeli?
Pole sijakukejeri ila kilichonishangaza ulivyowaita mashujaa at the same time tunaambiwa wapo kwenye kivuli cha UN ina maana wale kule hawajatumwa na TZ bali UN na zaidi ya hapo wenyewe hawaruhusiwi kupigana ili kutenganisha sehemu zinazopigana. Kumbuka wakati wa genocide Rwanda UN forces zilishindwa kusaidia hata waliokuwa wanachinjwa sababu wangeambiwa wameshiriki mauaji. Samahani kama nimekukwaza.
 
You are probably right lakini hii mission imekuwa kichaa labda ndio maana kila wakati muda wake unaongezwa, however kama utasoma MONUSCO mandate UN peace keepers pamoja na kuwa na jukumu la kufanya neutralization they also have a role of providing military policing kwenye jamii and in that environment you are just like a sitting a duck kwa sababu you have to be more friendly than aggressive na ndio katika mazingira haya wanakula ambush.

Binafsi nadhani stability ya Congo by now ilitakiwa kuwa jukumu la vyombo vyao vya ulinzi if they cant reach that far let Kagame annex that part as he wishes, it is their problem not ours.

Na kama tumeamua kusaidia ni bora tupelekee polisi wetu na vyombo vyetu vya ulinzi kuwafundisha wakongo jinsi ya kulinda mipaka yao na kuwapa uwezo kila siku wapigane wenyewe in a capacity building role.

Lakini kuendelea kufanya kazi kwa taratibu za UN sidhani kama kutakuwa na matunda anytime soon Congolese dont seem very much interested ya kujenga military capability maraisi wao wamejikita kujikinga ndani ya Kinshasa tu kujilinda wenyewe why should other parts of that nation be of our interest.

Vijana warudishwe nyumbani kama mkakati wa kuisaidia Congo sio wetu, hao wanaozitaka resources zao ndio watandikane upande waulinzi na uasi wenyewe, maana wakongo hawako serious kuilinda hiyo sehemu bila ya msaada wa kimataifa.

sure inabidi kila mtu apambane na hali yake!
 
Back
Top Bottom