Confirmed - Serikali kununua Mashangingi zaidi ya 100

Confirmed - Serikali kununua Mashangingi zaidi ya 100

Upuuzi mtupu hivi nyie mnaopinga mnataka serikali isinunue magari mnataka wananchi tuhudumiwe vipi.Yakweli mnayosema au basi furaha yenu kutoa lawama.mbona hamjaeleza seriakali inunue magari yapi yaliyo rahisi kwa matumizi ya maafisa wa kiwango kipi.au hamjawahi kufanya kazi za kuzunguka kutoa huduma kwa watu hata ikiwa ni ya biashara katika kampuni binafsi.

...hata lile obsolete radar na lidege bovu la raisi yaliyogharimu zaidi ya 100 billion tuliambiwa maneno kama hayo yako,so huna mpya ,kwanini ununue landcruiser 4WD kwa 100m?huku hata simu au internet ofisi ya serikali haina? kama kuhudumia wananchi nafikiri kuweka internet na simu ya uhakika ofisi za serikali kuna maana zaidi ya hayo magari na kungeweza kuzuia matumizi mengi ya magari kama hayo...wanatumia billions kununua landcruiser zaidi ya 1000 wakati with the same money wangeweza kutandaza fiber optics makao makuu yote ya wilaya Tanzania....tumejaza vilaza tuu na wewe ni mmojawapo!
 
Mkuu Koba,
Mawazo yako mazuri, tatizo ninaloliona ni ile quality ya human resources huko kwenye halmashauri zetu. Watu wetu wanafanya kazi kwa mazoea na wanasubiri kusukumwa hata kwa kutimiza wajibu wake. Wakijua kwa uhakika hakuna kukaguliwa physically, mambo yote kimtandao... itakua balaa! Miradi hewa itaonekana mizuri tu kwenye posting za mtandao, forms za kaguzi zitajazwa kwa umahiri bar, N.k ...kama vile mtu ukitaka kujenga nyumba ukiwa ulaya, halafu unatuma pesa na kusubiri maendeleo yake kwa email na picha. Wengi wamelia!... Sitetei uozo wetu wa watumishi, bali ni hali halisi ya utumishi wetu... kila kitu bagumashi.

Physical monitoring na evaluation ya mipango mbalimbali bado ni muhimu kwa watumishi tulionao leo.
 
Kuna Uzuri wake pia!

Mafundi hawatakosa kazi

Angalau familia mia moja zitakuwa na uwezo wa kujitutumua kiuchumi.

Na wale wanouza mafuta kutajirika zaidi. A win win?🙄
 
Bora walivyotoa tenda hadharani, unaonaje kama yangenunuliwa kinyamela tu? Ingeitwaje? ufisadi dabodabo ama..?

Hapana shaka Wizara hiyo inashida kubwa na vyombo vya usafiri, ukichukulia ni wizara ya Miundombinu, sidhani kama wanapaswa kuikagua Tz yote kwa baiskeli ama ST 11

Je katika hii tenda waomba tenda nao si wataweka cha juu?? Au bei zao zitakuwa kama za viwandani??? Vile vile naona wamependekeza magari ya aina ya Toyota (mfano hard top). Sasa kwa nini wasingeongea na mwenye kiwanda moja kwa moja alipokuja siku za karibuni kutembelea mbuga zetu ili angalau tupewe hayo magari kwa kipunguzi?
 
Je katika hii tenda waomba tenda nao si wataweka cha juu?? Au bei zao zitakuwa kama za viwandani??? Vile vile naona wamependekeza magari ya aina ya Toyota (mfano hard top). Sasa kwa nini wasingeongea na mwenye kiwanda moja kwa moja alipokuja siku za karibuni kutembelea mbuga zetu ili angalau tupewe hayo magari kwa kipunguzi?
a
Kuna mambo mawili umeuliza... Tenda siku zote ndio njia rahisi ya kufanya baiashara, kwani inampa mteja uwanja mpana wa kuchagua ni nani anaye mfaa.

Swali lako la pili kinaonyesha ni jinsi gani ambayo huna nafasi katika forum hii. Ni bora ukatafuta sehemu ambayo pumba kama hizo ni dili... let say DHW... huko kunakufaa sana
 
The Guardian, Friday January 9, 2009

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT MINISTERIAL TENDER BOARD

TENDER NO. ME/0l5/2008-2009/HQ/G/13 FOR THE SUPPLY OF MOTOR VEHICLES.

Using Framework Contract

Invitation for Tenders

1. The Government of Tanzania has set aside funds for the operation of Central and Local Governments during the financial year 2008/2009. It is intended that part of the proceeds of the fund will be used to cover eligible payment under the contract for the supply of Motor Vehicles.

2. The Ministerial Tender Board now invites sealed tenders from eligible Suppliers of the mentioned vehicles below:

LOT
Number Item No.Description Unit Quantity
1 I Executive Station, 4WD Wagon PCS 35
2 I Station Wagon, 4WD Automatic PCS 12
3 I Station Wagon, Manual, 4WD PCS 101
4 I Hardtop (3doors),4 WD PCS 47
I Hardtop (5doors), 4WD PCS 20
5 I I Pickup Double Cabin, 4WD PCS 32
Ii Pickup Single Cabin, 4WD PCS 2
I Motor Cycles, 125cc PCS 35
Ii Motor Cycles, 200 cc PCS 50
6 Iii Motor Cycle side car Ambulance PCS 20
IV Three Wheelers Motor Cycles PCS 10
V Motor Cycles (110 cc) PCS 15
7 I Mini Station Wagon, 4WD PCS 30
8 I Bus 65 Seats PCS 1

All tenders in one original plus two copies, properly filed in, and enclosed in plain envelopes must be delivered to the address below at or before 10:00 hours local time on Tuesday, 24th February, 2009Tenders will be opened promptly thereafter in public and in the presence of Tenderers’ representatives who choose to attend in the opening at the Conference room of the Ministry of Infrastructure Development, Tancot House, 3 Floor, Pamba road of Dar es salaam and shall be marked “TENDER NO. MEIOI5/2008-209/HQIG/13 FOR SUPPLY OF MOTOR VEHICLES TO BE OPENED UNTIL Tuesday, 24t February, 2009.

Aeeee mama weeeeee ingekuwa wewe ungefanyaje . . . Aee mama weee ingekuwa wewe ungefanyaje . . . ?

Habari ndo hiyo . . . Mizengo Pinda upo hapo?

One of ma favorite bongo flava sijui Banana Zorro ama? Naizimia sana ngoma ile.
Ila hujakosea kabisa...If you wanna know ningefanyaje?
Lets wait and see first kama ulivyosema hapo juu...Pinda ungefanyaje?
 
....juzi tuu pinda kaja na story zake kuhusu huu ufisadi lakini cha ajabu wanafanya yale yale,hawa watu hawako serious kwa chochote,nchi haina umeme,wanafunzi wamefukuzwa kwa ajiri ya sababu ya pesa,barabara ni foleni kwa kwenda mbele,bandarini kumejaa mizigo kwa sababu ya uzembe mpaka nchi nyingine wanahamishia biashara zao mombasa ingawaje ina cost zaidi lakini wanaona bora kulipa zaidi ya ile karaha ya pale Dar...shirika la ndege wamekula mpaka wameliua..etc.

Wa kulaumiwa ni mimi na wewe kwani tuliwapa kura zetu hawa viongozi huku tukijua wazi kwamba ni wapuuzi, sasa kelele za nini tena?. Kama kweli tumejifunza basi tufanye kweli 2010.
 
Am telling you Tz umaskini ni wa kujitakia.
UDSM wanafunzi 2000 wametimuliwa,kuna thousands of pupil watakosa kwenda sec kisa madarasa alafu serikali yasema haina ela.
We look like headless chicken kabsaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
halafu haina bilioni 21 za kukopesha wanafunzi wa vyuo?
 
Back
Top Bottom