Elections 2010 CONFIRMED: Lissu atangazwa mshindi rasmi!

Kulingana na taarifa ya TBC Mtaalam Tundu Lisu amepita sasa kutakuwa na kazi mjengoni wengine wote wanaweza kuniangusha sip Tundu Gaya kazi mnayo.
 
Nasikia ni mara ya kwanza jimbo la Singida kwenda upinzani
Kweli none of the stone will be left unturned
 
Tundu lisu ...ni sawa na wabunge walalaji wa CCM wanaoendeshwa na miongozo ya chama 200. waweza kua na wabunge wengi lakini Mabubu ..haina maana kua na idadi ya wasema Ndioooooooooooooooooooooooooooooooooo!!! hiyo ni Crap !kwa idadi hii inaridhisha ,Serikali sasa tumbo joto ...slaa atakua anatoa data tu !
 
Halafu watun wanaibuka na kusema CHADEMA niu chama cha ukanda na ukabila!
 
Source: Dorice Meghji
TBC1 Reporter

Tundu Lissu kapata kura 13,787 na Mgombea wa CCM -12,161

These are the bestiest results for me kwa ambao hawamjui huyu Jamaa wataiona shughuli yake Dodoma.

Kwa kusema ukweli JK aondoke Ikulu sasa muda umefika wa kurudi Bagamoyo na kwenda kujificha Tanzania ya leo sio lelemama na hatuwezi kukubali usanii wa Mafisadi kwa mgongo wa kodi zetu. JK atakumbukwa daima Tanzania kwa kung'ang'ania madaraka na kwa kumwaga damu ya Watanzania wakati wa uchaguzi. Hivi sasa kama ukiona harufu tu ya JK kimbia maana ni ukoma angalia usiambukizwe kama jamaa zetu wa Fanya Fujo uone na baadhi ya makuwadi wa Chama Cha Majambazi.
 
Mageuzi hayaji kwa mara moja, Nyerere alihangaika sana hadi nchi iliposhusha bendera ya mkoloni. Na hivi ndivyo ilivyo kwenye ukombozi huu wa pili (Ukombozi 2.0). Tusife moyo, matunda tutayala na tuko tayari kwa sacrifice zozote as long as hatumwagi damu.
Amandla.
 
Mageuzi hayaji kwa mara moja, Nyerere alihangaika sana hadi nchi iliposhusha bendera ya mkoloni. Na hivi ndivyo ilivyo kwenye ukombozi huu wa pili (Ukombozi 2.0). Tusife moyo, matunda tutayala na tuko tayari kwa sacrifice zozote as long as hatumwagi damu.
Amandla.

_49740100_010540505-1.jpg


Police fired water cannon in parts of Dar es Salaam


Hakuna Mapinduzi ya kweli yasiyokuwa na umwagikaji damu tayari damu inatiririka Mbeya, Mara, kigoma nk. upo dunia ipi?
 
Huyu bwana mmoja ni zaidi ya hao ccm mia. Ushauri wangu akawatumikie walalaoi kwa uamninifu na atakuwa anajisafishia njia kwenda ikulu kwani uwezo anao sana. Aksante MUNGU.
 
Hii haikubaliki nasema kama noma na iwe noma

Matokeo Tunduru Kaskazini

Kikwete amepata kura 22,261

Slaa amepata kura 1,965

Lipumba amepata kura 12,935
 
Halafu watun wanaibuka na kusema CHADEMA niu chama cha ukanda na ukabila!

Tena wameshinda huko mwanza, na wala hawajulikani lakini sera zao zinajulikana. Mbeya, Dar n.k.
Kuna mikoa inatia kinyaa, Morogoro, Ruvuma!
Kwa wilaya Mwanga, Korogwe, Muheza, na huko mtwara.
Lisu in the house, dua kwa mpiganaji mpendazoe
 
Nasikia ni mara ya kwanza jimbo la Singida kwenda upinzani
Kweli none of the stone will be left unturned

Kweli Njowepo. Jamaa kasomesha hasa wale ndugu zangu, yaani ni darasa kweli! Unajua Lissu kukata issues ndio mwenyewe, aliwapa mifano ya vitu chungu nzima ambayo tulikuwa tukikosa kwa kuwa na mbunge kama Mohamed Missanga. Ameahidi ataanza kazi mara moja, kutatua kero zote.

Njivunia kuwa mwana Singida Mashariki
 
Back
Top Bottom