Elections 2010 CONFIRMED: Lissu atangazwa mshindi rasmi!

Mashine nyingine hiyooo mjengoni i tell you this time they will suffer the consequences
 
Source: Dorice Meghji
TBC1 Reporter


Tundu Lissu kapata kura 13,787 na Mgombea wa CCM -12,161

These are the bestiest results for me kwa ambao hawamjui huyu Jamaa wataiona shughuli yake Dodoma.

Ukombozi unaanza kujipemyeza Singida.
 
Hii safi sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ama kweli ngugi aliseema a grain of wheat ....... Dr. Slaa asante kwa uzalendo!!!!!!!!!!!!!!!!!!
:yield:
 
good to hear that, coz what we need is more people who specialize in the impossible.
Source: Dorice Meghji
TBC1 Reporter


Tundu Lissu kapata kura 13,787 na Mgombea wa CCM -12,161

These are the bestiest results for me kwa ambao hawamjui huyu Jamaa wataiona shughuli yake Dodoma.
 
Wabunge wa chadema kumi ni sawa na wabunge wa ccm kama laki hivi
 
Mwaka huu wabunge wasinziaji wa ccm wataipata habari yao Tundu Lisu peke yake ni sawa na wabunge 100 wa ccm
 
Hahahahahaaaaa! Mafisadi kaeni chonjo...... Another slaa in the house. Huyu jamaa ni kiboko. Safi sana:israel:
 
Hongera Tindu lisu! Kazi kubwa ni kuiendeleza hii nchi kwa rasilimali zetu wenyewe pasipo kutegemea misaada toka nje yenye mashart ya kuuza utu wetu na uhuru wetu kama wafanyavyo CCM. Naamini utaendeleza harakati zako za kudai haki kwa uhakika ukijua nini unachokidai.ALL THE BEST KTK KULIJENGA TAIFA
 
Hizo ndo quality tunazozitaka bungeni na sio Quantity za magabachori kama Rostam Azizi, dewiji na wasinziaji wengine bungeni

Eti Anna Abdallah nae mbunge mpaka leo (yumo viti maalum), Kingunge etc..

Jamani!!
 
Back
Top Bottom