Nimepata kituo cha kusubiria matokeo...:smile:
Mkuu baada ya Batilida kudondokea pua naona umeamua kurudi kundini karibu
play stops.
one player down injured..........
Huna maana tena.
Mkuu dakika kumi zako ni za kichina ebu tupe matokeo bana.Ila usichakachue tunajua Myika na Mdee ni wabunge vinginevyo patachimbika hapa.
Guess what.......utakuwa sehem sehem (huaminiki kabisa)
Sema sasa imekuwa confirmed??
Guess what.......utakuwa sehem sehem (huaminiki kabisa)
Mkuu Inv thanks ila matokeo tunayo kabisa tayari wabunge ni Mdee na Mnyika, labda hapo kwenye Urais tu.....
play continues...........
ref does not want to blow final whistle..........
fans are furious...............