Ayaaaaa...........lakini babu we c ndo ulinitelekeza... Yan ulivoondoka na wenzio wakaondoka nikabaki mpweke ndo nkaamua nijilipue sansiro... Kha watu wa dar wabaya mwe sina hamu nao... Bora ningeenda Arachuga
Mmoja wapo wakiwa LiverpoolFC, ila kama nilisikia sauti yake kwenye mapambio kwenye kanisa jirani na home.
Afadhali wewe umekumbuka kwenda church... Make kuna wengine hata hawajaamk!
Mshiki nakupa angalizo. Maneno mengine hayapaswi kutamkwa asubuhi siku ya Bwana. Ona sasa unanifanya nielekee zangu kaunta kuitii kiu yangu na kulipa kodi ya serekale......
Hivi kesho jumangapi vile??
Unaota babu AsprinAisee hebu salimia hii mutu iendaye kwa jina la timu yangu pendwa LiverpoolFC. Mwambie leo Chelsick lazima aelekezwe kiblah.
Aisee hebu salimia hii mutu iendaye kwa jina la timu yangu pendwa LiverpoolFC. Mwambie leo Chelsick lazima aelekezwe kiblah.
Yeh ndo ujue alitumia bavalia yenye 8.6 AlcPreta anakuja hapo ushamaliza Mzee wa Rula alichanganya sparleta na bavaria ameshindwa kuamka......wapi PakaJimmy hajashusha mikono
Nashukuru kwa taarifa. Kwahiyo leo ni kubanjuka tu, siyo? Afu kwanini huwa hujibu sms zangu? Nawe umekuwa kama Preta?Ijumaa wiki endi ndo inaanza teh teh teh, Bro sikuhizi umehamia eatel maana si ulikuwa unatumia spaletta kama Erickb52
naota kitu gani mazee? Kumbe na wewe ni Chelshit??Unaota babu Asprin
Te.h kutakuwa kuzuri kweliHuko kiblah ndio wapi inaelekea ni pazuri.
Hehhehe huko ni Temeke. Uhusiano wa kikojoleo na kinyeo HAUKUBALIKI!!Huko kiblah ndio wapi inaelekea ni pazuri.
We tulia uone mtakavyofyatuliwa km ndovu inavyoteremka kooni kiulainiiiiNashukuru kwa taarifa. Kwahiyo leo ni kubanjuka tu, siyo? Afu kwanini huwa hujibu sms zangu? Nawe umekuwa kama Preta?
naota kitu gani mazee? Kumbe na wewe ni Chelshit??
Hehhehe huko nni Temeke. Uhusiano wa kikojoleo na kinyeo HAUKUBALIKI!!
Hehhehe huko ni Temeke. Uhusiano wa kikojoleo na kinyeo HAUKUBALIKI!!
Nakanusha. Mi natumia Voda Fasta, Super Cheka.@Asprin thibitisha matumizi ya huo mtandano mentioned.
Hehehehehe.... mkware alikuwa anarudi reverse bila kutumia side mirror.... akagonga na kunasa (RIP)Hivi Temeke ilikuwa ni hivyo?
Nilidhani kitu ni mbele kwa mbele
Ewaaaaaaaa!!Vigezo na mashariti havikuzingatiwa.
Te.h kaaazi mi simo@Asprin thibitisha matumizi ya huo mtandano mentioned.
Dah aisee sikujua...duh noma aiseeNakanusha. Mi natumia Voda Fasta, Super Cheka.
Hehehehehe.... mkware alikuwa anarudi reverse bila kutumia side mirror.... akagonga na kunasa (RIP)
Ewaaaaaaaa!!