Confirmed: Erickb52 uzalendo umemshinda.


kwani nini kinaendelea hapa.....bia yangu iko wapi.....?
 
Last edited by a moderator:
Habari yako bhana ndio nazinduka, hee kumbe mmeshaondoka, hivi ni saa ngapi? kazi kweli kweli.

Yaani LF kama ndo ilikua hivi , hadi netwk kufuta mawe yote ya mnara!
Asa una uhakika gani kama hakuna alietupia nyavuni wkt umepoteza? Na hapo akina Erickb52 , Mungi
Mzee wa Rula
Baba V
walikuwepo tena wakiwa tingas !
 
Last edited by a moderator:
Well, akichelewa kutupa fidibaki nakunywa supu ya mzazi kwa hasira..................... kisingizio na mi pia ni mzazi kumbe mning'inio hahaaaaa

ukimaliza kunywa hakikisha unamnyonyesha kachanga
 
Well, akichelewa kutupa fidibaki nakunywa supu ya mzazi kwa hasira..................... kisingizio na mi pia ni mzazi kumbe mning'inio hahaaaaa

teh teh teh Arushaone fidibaki tafazali ....... si unaona Mungi anataka kufanya maangamizi kwa mzazi, tumuokowe huyu Mama na hilo janga.
 
Last edited by a moderator:
kwani nini kinaendelea hapa.....bia yangu iko wapi.....?

unaona sasa matatizo ya kuchanganya pombe........................ ulidhani unatengeneza makemiko hahaaaaaaa.............. no memory anko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…