Niko busy sana hapa kijiweni_wateja wanaleta viatu vimechafuka na matope sana...si unajua tena mambo ya mvua siku hizi,..siku hizi mbona hamji kuniungisha hapa kijiweni...leteni viatu kwetu sisi tulio na uzoefu wa miaka mingi kung'arisha viatu bhana.