CONFIDENTIAL: TANESCO, RICHMOND, DOWANS and BoT


Hivi mkataba ulisainiwa na TANESCO au na wizara? Kunakitu hapo nahisi tunachanganya! Nadhani TANESCO hawana mkataba na Dowans bali serikali kupitia wizara walisaini mkataba na Dowans. Kama Dowans wangekuwa na mkataba na TANESCO; TANESCO ingekataaje kulipa? Ama nimemsoma vibaya Ludo! Kuna kitu hapo tunatakiwa ku clarify wazalendo wameleta hii ngoma nje ili tujue style iliyochezwa hapo. Unless you tell me otherwise!

Hapo kwenye kushinkiza need tu be checked kuna watu wanaweza kuwa wametumia cover tu ku link hii issue na TANESCO; ukisoma hiyo document between the lines utagundua hakuna mkataba kati ya TANESCO na DOWANS bali Serikali (Wizara) na DOWANS. Na hapo Auditor amenusa kuna kuwa held responsible asipo kuwa makini akanawa mikono kama pilato sasa hukumu iko kwenu nani asulubiwe kati ya Baraba na Yesu sauti zenu zitaamua kesi hii pilato kesha jitoa.

This is pure my thinking based on the document, unless mnanielewesha lakini kwakiasi kikubwa huwa na mwamini hollyspirit katika ku descern evil.
 
Ah, inachosha tumenyonywa hadi mifupa. Hawa watu wapo tunao mitaani through JF tuhamasishane tuwapige kwa nguvu ya umma, tatizo waty tuko waoga maneneno meeeeengi. Do something.
 
invisible, mi nimekuta umesha remove, kwahiyo, niko mweupe!
 
Turudishie kidogo hizo docs tuzione wale ambao hautukubahatika kuziona.
 

item (viii) ya barua ya CAG to PS MoF.......inasema
In a meeting held on 18th December 2006 between Dowans, the Ministry and Tanesco in a move to resolve the matter, the Ministry INSTRUCTED Tanesco to agree with the transfer of the rights and obligations of Richmond to Dowans to sign the agreement which Tanesco SIGNED on 23rd December 2006...........

Ninachojiuliza hapa ni kuwa Dr. Rashid alipojiuzulu ilikuwa ni kwa ajili ya hii issue au?
 


swali zuri pia ambalo litatudokeza ni kuwa ni nani aliyetia sahihi mkataba wa Tanesco na Dowans Disemba 23, 2006 kwa niaba ya Tanesco?
 
Naangalia tarehe za barua

From Hans Lottering (Tanesco) to Mrindoko (Madini na Nishati)

Halafu

from Athur Mwakapugi (Madini na Nishati) to Bal. Kazaura (Tanesco)

Napata kizunguzungu..........au kuna kitu kina-miss?, Naona barua ya Tanesco haijajibiwa!
 

mazee sijui hata unaongea nini
 
Ndugu wana Jamii forums, jukumu kubwa tulilonalo ni kuwaelimisha wengine kwa kuhakikisha kuwa wameziona hizi docs.....

Naamini media zenye Uthubutu kama mwanahalisi zitaweka mambo peupe.... ili na wananchi wengine wafahamu kinachoendelea....

Nalisubiri mwanahalisi toleo lijalo kwa hamu kubwa!!
 

There is something you guys are missing, kuandika kuwa forced inawezekana kabisa hiyo ndo information aliyo pewa or documented for people to take cover (true or not need to be checked) kwani kusema siyo maana kuwa kweli mtu wa TANESCO ali sign try to find out this you might find holly spirit has revealed to me something which is amazing! This is purely spiritual intelligence through meditation ebu ka nzi comfirm kama na mimi Mungu wangu aweza inuliwa.
 
swali zuri pia ambalo litatudokeza ni kuwa ni nani aliyetia sahihi mkataba wa Tanesco na Dowans Disemba 23, 2006 kwa niaba ya Tanesco?

Hans Lottering

Ni Mtanzania huyu kweli?

Nafikiri kabla ya kwenda kwenye Utaifa wa Mtu..............inabidi tupate background ya huyu Hans Lottering.......who and what is HE/SHE

Let me be Devil's Advocate here...............Kuna mtu hapo Tanesco alikuwa anaitwa Parsalaw, kuna General Mstaafu wa Jeshi (sikumbuki jina lake) ni mwenyeji/mzaliwa wa Mbeya na wengine wengi tu na majina ya Kigeni............

Who is Hans Lottering?
 

Ina maana the week before 26th June 2006 ali sign na wa Finish na 23 December 2006 aka sign mwingine na DOWANS? I am lost!

Tanesco, Finland in $92m Generator Bid

Deogratius Joseph
26 June 2006

Dar Es Salaam - The state owned power utility firm, Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) and a Finnish company Wartsila OY have signed a US$ 92.3million contract to procure and install 100MW gas-based emergency power-generators.
Mr. Hans Lottering, the Tanesco deputy managing director said last week in Dar during the signing ceremony that said the generators would substantially reduce the current power problems the country faces.

Source: http://allafrica.com/stories/200606261157.html
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…