It was not about him. It was about me and other good members of our family.
Mwenyezi mungu aninusuru na Ndugu kama wewe,hata kama mbaya niwakwako wewe kwa style hii unaweza hata kuua,kuna watu ndugu zao Mashoga na wanakua nao wengine ndugu zao Malaya kupitiliza na wapo nao,umeona kumtokomeza kusikojulikana ndio jawabu zuri? jee ungetumia huyo Nyamwicho wako kumtuliza ingekua mbaya?
Ivi kweli unalala usingizi wenye amani wakat unajua umefanya maovu kwa ndugu yako?
Pamoja na yote, huyo anabaki kuwa ndugu yako tu! Kwani walevi walio barabarani hawana ndugu, Angalia dhambi ya moyo wako yaeza kuwa kubwa kuliko ya huyo ndugu yako
Why did i not think of that??!!!. Anyways, kama ningetakiwa kufanya hivyo,ningefanya hivi. Ningechukua jini mmoja (Jina kapuni ),nikamuweka ndani ya nafsi ya huyo jamaa.Tabia za huyo jini ndo zingekuwa tabia za huyo jamaa. Meaning,jamaaangekuwa kama msukule vile na angekuwa dizaini kama zezeta vile. Kwa maana nyingine, tungekuwa tunaishi na jini na sio mtu. Pili gharama za uchawi huo ni kubwa sana ikilingwanishwa na gharama za sunkhwa. Tabia ni kama ngozi, huwezi kuibadili.Alichagua maisha hayo. Alitufanyia usumbufu mkubwa. So let him leave our presence
Mungu amenileta duniani kufurahia maisha. Sio kukarahishwa.Hata ukiwa jasiri kiasi gani, huwezi kukaa na nyoka ndani. So hata kaka yako akiwa Alshaabab, utakaa naye tu? kisa ndugu yako!!
hujasema Alshabab umesema mlevi anavuta sijui nini na mkorofi hajakua nyoka,mwenyezi mungu atamnusuru popote alipo.Mungu amenileta duniani kufurahia maisha. Sio kukarahishwa.Hata ukiwa jasiri kiasi gani, huwezi kukaa na nyoka ndani. So hata kaka yako akiwa Alshaabab, utakaa naye tu? kisa ndugu yako!!
Dah I wish hio dawa ingeweza kutumika kwenye siasa pia, tungeitumia kuwafukuza CCM wote aisee na mafisadi wote Dah Mpwa hebu waulize kama haiwezekani kufanyia modification kidogo
hujasema Alshabab umesema mlevi anavuta sijui nini na mkorofi hajakua nyoka,mwenyezi mungu atamnusuru popote alipo.