Confessions: Nilimfukuza kaka yangu kichawi

Confessions: Nilimfukuza kaka yangu kichawi

LIKUD,

Kitu kinachinishangaza, kwa jinsi ulivyoandika naona huo uchawi wa Kiafrika upo katika kuharibu tu na si kutengeneza, kwanini usimroge akasahau "ulevi wa pombe kali za kienyeji, uvutaji wa bangi ulio kithiri na kujiunga kwenye makundi ya fujo na vurugu."?

Ingekuwa umetengeneza badala yake wewe umemroga akimbie na kusahau kwao. Au ndiyo uchawwi Kiafrika hautengenezi unabomoa tu? au ndipo uwezo wako wa kufikiri uliishia hapo kwa wakati huo?

Inasikitisha sana.

It was not about him,it was about my family. I wanted to make my family happy. Alikuwa tatizo, so nikaamua kumtatua.Its more or less the same as what Adolf Hitler did to the jews.He found that they were a problem to German and Europe.So he exterminated them. Do u get my point!!!
 
It was not about him,it was about my family. I wanted to make my family happy. Alikuwa tatizo, so nikaamua kumtatua.Its moe or less the same as what Adolf Hitler did to the jews.He found that they were a problem to German and Europe.So he exterminated them. Do u get my point!!!

he was your family too
 
Kwa kosa hilo nasisi hapa JF tutakufukuza kichawi kwa kutumia SUNKHWA...hutaikumbuka JF hadi atakaporudi kaka yako....
 
Kwa kuamua kumfukuza kiuchawi kwa pombe zake, bangi zake na makundi yake, inaonesha wewe ulikuwa huchukii hayo yake bali ulikuwa unamchukia yeye binafsi.

Ungekuwa unampenda nduguyo basi ungefanya kila njia aachane na hayo yake kwa kuyafukuza hayo yake badala ya kumfukuza yeye.

Binaadam huwa tuna kasoro zetu lakini tunatakiwa kukabiliana na hizo kasoro na kuzipunguza mpaka ziondoke kabisa na si kuzizidisha hizo kasoro.

Kulikuwa kuna urithi?
 
Waliowafanya vibaya ndug zao hawa kubak salaama mtazame kaini mtazame yusuf tobaya kwel nikumtafta umuombe mshaha.utaish
 
Waliowafanya vibaya ndug zao hawa kubak salaama mtazame kaini mtazame yusuf tobaya kwel nikumtafta umuombe mshaha.utaish


Kaini na Abeli ilikuwa stori tu imeandikwa..we una amini ya kweli hayo?
 
Kwa kuamua kumfukuza kiuchawi kwa pombe zake, bangi zake na makundi yake, inaonessha wewe ulikuwa huchukii hayo yale bali ulikuwa unamchukia yeye binafsi.

Ungekuwa unampenda nduguyo basi ungefanya kila njia aachane na hayo yake kwa kuyafukuza hayo yake badala ya kumfukuza yeye.

Binaadam huwa tuna kasoro zetu lakini tunatakiwa kukabiliana na hizo kasoro na kuzipunguza mpaka ziondoke kabisa na si kuzizidisha hizo kasoro.

Kulikuwa kuna urithi?


he was pombe,bangi and vurugu himself.
 
I'm alive again More alive than I have been in my whole entire life!
 
Mkuu LIKUD nakumbuka last time uliazimia asifike kwenye harusi yako kabisa ulifanikiwa?
 
Hiyo ni tafsiri yako. Na naamini ni ya kichawi na kishetani zaidi.

Swali langu la mwisho hujalijibu, inanitia mashaka.

Hakuna ishu yoyote ya urithi. I got my property na nipo vizuri kabisa. Every member of our family is good na anafanya mambo yake. Hakuna wa kugombania urithi,. jamaa anazidiwa akili hadi na our last born ( born in 1998 )..Akinywa pombe zake anakuwa msumbufu sana,.halafu anafanya makusudi kabisa. Hapo nyumbani kuna vibinti vidogo,akija na pombe zake ni kuvisumbua,.Kuvipiga ngumi and all that. Kwa ufupi hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza vumilia upumbavu wa huyo jamaa.Personally,nahesabu hasara. Naona kama sijawahi kuwa na ndugu kama yeye. Our late father, two weeks before he passed away,alimwita na kumwambia, " Usipo badilika, hutofika mbali" Analaumiwa na kila mtu, kuanzia ndugu,majirani & marafiki.....Ni sheedah
 
By the way mm kama mdau sikubaliani na maamuzi ambayo umeyachukua(ingawa siamini)
Kaka yako ni ndugu yako damu moja hupaswi kabisa kumfanyia hv, unless una very high inferiority complex
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom