Confessions: Nilimfukuza kaka yangu kichawi

Confessions: Nilimfukuza kaka yangu kichawi

"Ukifanyiwa uchawi huu, utaondoka kwenu na kwenda mahali utakapo pachagua wewe. Hutorudi tena nyumbani kwenu.Hutopakumbuka nyumbani kwenu ukiwa unaishi. Utakumbuka nyumbani kwenu siku utakayo kua kaburini..."

Jamaa vp isee sijaelewa hapo "utakumbukaje kwenu ukiwa kaburini"

maana yake ni kwamba, hutopakumbuka tena kwenu.
 
We LIKUD si kila mtu analogwa kwa Sunka, huku uziguani washanitupia sana ulozi kama huo na ukadunda mpaka sahizi wamekuwa wapole.
So naimani huyo brother yako huko aliko pengine mambo yake yamemnyokea na ipo siku atarudi tu nyumbani.
Watu wa ukanda wa pwani especially hawa wazigua wapo too primitive. Mtoto akienda mbali kutafuta maisha wanamfanyia dawa arudi nyumbani. Huu ni upuuzi.

Umejuaje kama walikupiga sunkwa?
 
Ww kweli nyoko nyoko square wenzetu mafreemason wanatumia uchawi kujitajirisha ww unamfukuza nduguyo ww nyoko nyoko square.

Ayaaaaa hata mm nilikuwa na kaka wa baba mkubwa yeye pombe tuu na wanawake akirudi home ugomvi na jiran anampiga mwenye nyumba ya jirani ndo ilikuwa styme yake kwasababu alikuwa mbabe na akinywa ubabe unazidi alikuwa anachukiwa nakila mtu sasa basi kilichofanyika Baba ake akamfanyia mambo ya kichawi huko kwao leo hii huu mwaka wa tisa katulia na ameshaoa kawa mtu mwema kaacha pombe siku akikimbuka hata chupa mbili hamalizi anaacha.

Wewe nyoko sana yaaani nyoko square baada utafute suluhu unakimbia tatizo kwa kumfukuzisha nduguyo kwao alipozaliwa

Kama sunkwa ingedunda,ningemfukuza duniani!!!!
 
Kama una uwezo huo basi badala kufanya uchawi wa kumfukuza kwanin basi usingefanya uchawi wa kumbadilisha tabia awe mtu mzuri?

Hiv uchawi hauwezi kufanya kitu positive?
Kwanza jitu lenyewe lichawi, tangu lini ukaona mchawi ana busara na hekima ?
 
Uzi mpk unakinaisha mod ondoa hii takatak

Mkuundugu, wewe ni mkuumaalumu, kama hujafurahishwa na uzi huu,ungepita kimya. Nenda kachangie kwenye mada za kikuumaalumu,kwa sababu na wewe ni mkuumaalumu.
 
Umejuaje kama walikupiga sunkwa?

Kuna wafuasi wao ndo walikuja kuniletea habari kuwa mimi siwezekani kabisa. Naruhusu hata wewe unijaribu pengine tunguli yako ya moto!
Ila uwe makini sana nisije nikahamia nyumbani kwako na shemeji akawa halali yangu!!!!!
 
walikudanganya
 
Mkuundugu, wewe ni mkuumaalumu, kama hujafurahishwa na uzi huu,ungepita kimya. Nenda kachangie kwenye mada za kikuumaalumu,kwa sababu na wewe ni mkuumaalumu.
----- kweli wewe mie nilijua una akili kumbe akili yako ipo kwenye kijambio chako, mitusi ya nini kwa wenzio mjinga wewe ?
 
Mkuundugu, wewe ni mkuumaalumu, kama hujafurahishwa na uzi huu,ungepita kimya. Nenda kachangie kwenye mada za kikuumaalumu,kwa sababu na wewe ni mkuumaalumu.

Wewe mchawi acha matusi
 
Mkuundugu, wewe ni mkuumaalumu, kama hujafurahishwa na uzi huu,ungepita kimya. Nenda kachangie kwenye mada za kikuumaalumu,kwa sababu na wewe ni mkuumaalumu.

Matapishi yko pelek fb kwa vibwengo wenzio
 
Mkubwa usipotubu moto wa jahanam utakuwa kwa ajili yako kujingiza katika uchawi,,,,mchawi hafuzu popote afikapo
 
You are a devil!

Wewe kama si mfuasi wa shetani tu bali ni shetani halisi!. Na siku watu wa Mungu wakiomba ndugu yako afunguliwe, ujue umekwenda wewe. Ibilisi mkubwa!.

Nawafahamisha kuhusu njia nzuri na salama ya kudeal na mtu anayekuletea usumbufu katika maisha yako.Badala ya kumuua au kumfunga,we mpige sunkhwa tu.U know kuna wengine wanawaua kabisa!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom