Confessions: Nilimfukuza kaka yangu kichawi

Confessions: Nilimfukuza kaka yangu kichawi

Yesu akaambiwa, ' Mama yako na ndugu zako wanakusubiri hapo nje ". Yesu akawajibu "Ndugu zangu ni wale wanao nipenda na kufuata maagizo yangu ".Hata Mungu anawapenda wanao mpenda

Wewe huna agizo wala agano, ndugu yako ni wa damu.
luka 6:32 Mkiwapenda wanaowapenda ninyi mna thawabu gani? Maana hata wenye dhambi huwapenda wenye dhambi wenzao.
33.Mkiwafanyia mema wale wawatendeao mema mwaonyesha fadhila gani? Maana hata wenye dhambi hutenda mema wakitarajia kurudishiwa mema.
 
Swala la kuwa kama msukule hujalikwepa; maana ata saiz ni hajitambui na akili yake imeshikwa ndio maana hawezi kukumbuka yeye ni nani na kwao wapi.

Ulichomfanya umemfanya msukule ndugu yako.Sio jambo zuri kufanya.Kama ulishindwa kumsaidia ungempeleka kwa wanasaikolojia au viongozi wa dini.Ukishindwa muache awe huru kama hawezi kumuona akiwa hivyo basi ungehama wewe ukiwa na akili yako.

Ulichofanya ni unyama na unapaswa ujionee huruma wewe mwenyew

Mimi sikuwa nakaa nae,.Nakaa kwangu. Ndugu zake wote tunaishi makwetu. Alikuwa anakaa na maza nyumbani.Kwnye nyumba ya wazazi. Upuuzi wake ulikuwa unamsumbua sana maza pamoja na watu wanao kaa hapo nyumbani. Nimuache aendelee kumsumbua maza? We!Huwezi kumzingua mama angu mzazi halafu nikakaa kimya! Hiyo haipo! Anyways, mi naona kama jamaa ana bahati sana,maana kuna tambiko fulani hivi,mtu anachukuliwa anapelekwa mlimani "Inapigwa dua maalumu"anatoweka.Ningeweza kufanya hivyo but nikaona bora nimtose baharini huko akakutane na samaki wake ammeze
 
Wewe huna agizo wala agano, ndugu yako ni wa damu.
luka 6:32 Mkiwapenda wanaowapenda ninyi mna thawabu gani? Maana hata wenye dhambi huwapenda wenye dhambi wenzao.
33.Mkiwafanyia mema wale wawatendeao mema mwaonyesha fadhila gani? Maana hata wenye dhambi hutenda mema wakitarajia kurudishiwa mema.

Basi kumbe bible inaji contradict yenyewe!
 
Ungeweza kutumia uchawi wa yeye kuacha kuliko ulivyofanya unafikiri utaishi kwa amani leo utaona sawa ipo siku utajuta sana

Siwezi kujua dada yangu. AM LEAVING LIFE WITHOUT FEAR! AMA FREE SOUL!
 
kumfanya ndugu yako apotee bila kujijua yuko wapi na my be amekufa
 
So what are you confessing? I think you are proud of what you are doing.
 
Amen!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! But me nimetimiza wajibu wangu...Jamaa alikuwa threat kweli kweli. Analeta ulevi wa kingese..unaenda kuwanywea watu, kila siku kesi, shida inakuwa kwa maza.... Tukimtumia maza mkwanja,anaenda kumtishia na mapanga apewe hela ,anachukua hela kwa nguvu anaenda kulewa.Na maza wetu ni mjane sasa hivi..Anahitaji kupata faraja kutoka kw watoto wake..Kitu gani kinamstahili hayawani kama huyu?HE IS 33 YEARS OLD!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Wajibu? ivi mtoto wako unaweza kumfanyia hivyo? au ulimweleza mzazi wakua unaenda kufanya hivyo? Halifai lakini lina pumbaza,sidhani kama alikua 100% mbaya kama unavyo fikiria wewe,na wala wewe sidhani kama ni mzuri 100% ikiwa wewe damu yake umeshindwa kumstahmilia dhiki zake utaweza kumstahmilia mwengine siutamuua kabisa? anyway haya tuishie hapa nisije nikapitiliza nikakukwaza....
 
kumfanya ndugu yako apotee bila kujijua yuko wapi na my be amekufa

It will be a good thing, cause i dont want to see him dead..We unapenda kumuona ndugu yako akiwa amekufa?
 
Wajibu? ivi mtoto wako unaweza kumfanyia hivyo? au ulimweleza mzazi wakua unaenda kufanya hivyo? Halifai lakini lina pumbaza,sidhani kama alikua 100% mbaya kama unavyo fikiria wewe,na wala wewe sidhani kama ni mzuri 100% ikiwa wewe damu yake umeshindwa kumstahmilia dhiki zake utaweza kumstahmilia mwengine siutamuua kabisa? anyway haya tuishie hapa nisije nikapitiliza nikakukwaza....

Usiniogope bana! Am not that bad!!! Sure i can do it even to my kid. kwa mfano kama nikigungua mtoto wangu wa kiume ni shoga.Nampoteza tu tena bila kuchelewa.. I dont take no shit!!

Angekuwa mtu baki wala hata nisinge hangaika nae,coz ujinga ujinga wake usinge nifedhehesha mimi.Ungemfedhehesha yeye na familia yake.
 
mkuu nakumbuka kuhusu huyo kaka yako aliyekua mlevi kumbe ulikuja mfukuza?? Pole yake.
 
naamin huyo kijana tegemezi hata huko watakuwa wamemchoka wanataka kumrudisha kwao.

au atakuwa amekuwa chizi.
 
LIKUD,

Kitu kinachonishangaza, kwa jinsi ulivyoandika naona huo uchawi wa Kiafrika upo katika kuharibu tu na si kutengeneza, kwanini usimroge akasahau "ulevi wa pombe kali za kienyeji, uvutaji wa bangi ulio kithiri na kujiunga kwenye makundi ya fujo na vurugu."?

Ingekuwa umetengeneza badala yake wewe umemroga akimbie na kusahau kwao. Au ndiyo uchawi wa Kiafrika hautengenezi unabomoa tu? au ndipo uwezo wako wa kufikiri uliishia hapo kwa wakati huo?

Inasikitisha sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom