confession: Umewahi kupigwa kibuti na Mpenzi wako??..... tuambie yaliyo kukuta.....

Yaani atakuwa alikusahau the moment umetoka kwenye uso wake. Demand ya sweetlady iko juu sana, kabla hujamdiss kuna applications kama mia pending, anaitisha file tu. Your loss baba, i promise you
Mwambie huyo mke mwenza lol ! Wa kupigwa kibuti ntakuwa mimi?
 
Last edited by a moderator:
Hah hah hah hah! king'ast bana! Utamwona akija hapa! Ooh wewe ndio chaguo langu, nakupenda sana, sikuachi, wengine siwapendi. Kila neno analolijua. Kwa kuwa naheshimu ndoa yangu, sina hata mpango nae! Ila namwonea huruma sana sweetlady! Maana hata Mungi nae hamtaki!
We Filipo tena ukome kuusemea moyo wa Mungi....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom