confession: Umewahi kupigwa kibuti na Mpenzi wako??..... tuambie yaliyo kukuta.....

Mh me sijui kama nilipigwa au la!! Niligundua jamaaa anakidate kingine. Nikauliza akakubali
nikajiweka pembeni kuogopa msongamanoooooooooo mwenyewe kabla drama hazijaanza.
Me sishei, na nnapogundua tunashea ndo hapohapo naacha kushea. Kisa cha kufa na ugonjwa wa moyo?
 
Mimi nimempiga kibuti sweetlady. Sijui anajisikiaje! Kamata, tupa kule!! Hah hah hah hah!
Yaani atakuwa alikusahau the moment umetoka kwenye uso wake. Demand ya sweetlady iko juu sana, kabla hujamdiss kuna applications kama mia pending, anaitisha file tu. Your loss baba, i promise you
 
Last edited by a moderator:
Yaani atakuwa alikusahau the moment umetoka kwenye uso wake. Demand ya sweetlady iko juu sana, kabla hujamdiss kuna applications kama mia pending, anaitisha file tu. Your loss baba, i promise you

Hah hah hah hah! king'ast bana! Utamwona akija hapa! Ooh wewe ndio chaguo langu, nakupenda sana, sikuachi, wengine siwapendi. Kila neno analolijua. Kwa kuwa naheshimu ndoa yangu, sina hata mpango nae! Ila namwonea huruma sana sweetlady! Maana hata Mungi nae hamtaki!
 
Hahaaaaaaaa Filipo inamaana mi ndo kiokote? dawa ya sweetlady ni babu Asprin
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom