Confession: Nimefanya sana umalaya, sasa basi

Confession: Nimefanya sana umalaya, sasa basi

Nimekukubali kitu kimoja, Umekubali ukweli wako, na kitu kikubwa kuliko vyote nlivyokukubali UNA GUTS ZA KUWASEMEA WATU WENGI SANA AMBAO NAAMINI KUPITIA HUU UZI WATAJITAFAKARI SANA...Mungu Akubariki...
 
Tafuta a permanet relationship, na ujaribu kuona kama unaweza kumvumilia mwanaumee mmoja
 
Tafuta a permanet relationship, na ujaribu kuona kama unaweza kumvumilia mwanaumee mmoja

Chief hii chai umeiamini? Kaka hakuna majuto ya hivi, watu wanakosea na wanapiga moyo konde, sina shaka hii ni chai hauitaji kisomo zaidi kujua, msome na kutafakari, hajajuta kwa maana anaongea waziwazi kwa maneno ya kihuni bila kuficha
 
Chief hii chai umeiamini? Kaka hakuna majuto ya hivi, watu wanakosea na wanapiga moyo konde, sina shaka hii ni chai hauitaji kisomo zaidi kujua, msome na kutafakari, hajajuta kwa maana anaongea waziwazi kwa maneno ya kihuni bila kuficha

chief daaah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Dah ukisha zoea kutoa tigo basi huto kaa ukaacha hiyo tabia, nishie hapo Sina Cha kuku shauri.
 
Ni kweli kwamba ukizoea kutoa tigo ni vigumu kuacha hiyo tabia maana nasikia kosa kubwa ni mwanamme kumwaga shahawa zake ndani basi umekwisha.
Yaani ni bora uliwe tigo afu shahawa zisimwagwe ndani hapo utaweza hata kuacha lakini zikishindiliwa humo humo. Kila mara ukisex kwa njia ya kawaida lazima huko nyuma kuwashe washe kwa wanavyosema, sasa jiulize panawasha na mkunaji unaye utaacha kumwambia akukune?
Ndio maana ukishaanza mchezo wa ufirauni ni vigumu kupigwa za kigwajima bila kupitia za kifarao.
 
Umeeleza kile kifanywacho sana na kizazi hiki. Dah, kweli tunasahau yapitayo lakini daah, kuwa na mke aliyeharibiwa jicho jamani...daah!

Mie nashauri haya mambo ya mahari, asante ya mama kimtunza binti na upuuzi mwingine viachwe. Sasa hapo unatoa asante ya nini...kuliwa tigo?
Dah upo sahihi lakini mkuu tambua thamani ya mtu haishushwi na historia ya nyuma. Kuoa mke atakufanyia mengi, haya yaliyopita hayamzuii kuwa hawezi kukushauri maendeleo, hawezi kukutunzia mji, hawezi kukuzalia na kulea watoto...wangapi wameoa mabikra lakini wanaishia kujuta tu... mi ninamuamini huyu dada 100% kuwa ni mke bora na heri yake atakayemuoa atakuwa kapata jiko haswaaa
 
Daah ushuhuda wa namna hii huumiza sana nakuona bora ukae mbali na viumbe hawa...unataka mume wa kukuoa!
Wapate na watoto#
Ulibatizwa kiberiti ngoma!
Ulilala na 5 ck moja!!!
Umeanza uasherati ukiwa na miaka9!
Na tigo mzoefu!
Oooh Mungu wangu.
Kama umekusudia kuacha hongera...natamani niongee na wewe nikuulize machache tu
Umuulize ili iweje wakati kaanika kila kitu...acha kuwa mnafaiki ! Hatujui historia yako ila nina imani nawe katika historia yako kuna maisha fulani ya kishetani umefanya, hata si kwa upande wa mambo ngono, labda ulidhulumu, ulidanganya, ulidukua haki ya mtu na kujipa wewe. Tusiangalie yaliyopita kabisa vinginevyo tusingekuwa tunasonga mbele mkuu.
 
Sio kwamba nakucheka, ila kwa kweli umenichekesha ulipomalizia "naombeni ushauri" maana story yako inaonyesha umeshakaa chini umeamua kuacha halafu mwisho unaomba ushauri sasa ushauri gani tena!
Ushauri anaotaka ni kuwa asije akarudia tena ya nyuma
 
Cha muhimu ni kuomba toba kwa Mungu na msamaha wa kweli unatoka kwake "Afichaye dhambi zake hatafanikiwa;Bali yeye aziungamaye na kuziacha atapata rehema.“Mithali 28:13
kama yule kahaba alivyosamehewa dhambi zake na Yesu Luka 7:37 "Katika mji ule palikuwa na mwanamke mmoja kahaba. Naye aliposikia kuwa Yesu atakula nyumbani kwa yule Farisayo, alichukua chupa ya alabasta iliyojaa man ukato 38 akaenda, akakaa nyuma ya Yesu, karibu na miguu yake. Kisha akaanza kulia, machozi yake yakidondokea miguuni mwa Yesu, akayafuta kwa nywele zake. Huku akimbusu miguu na kuimiminia yale manukato".
 
Mungu akutie nguvu
Ahsanteni wote mlio.comment kwenye huu uzi. Napenda kusema yafuatayo.

1. Wale mnaosema kuwa hii ni habari ni ya kutunga, napenda kuwaambia kuwa hata mimi natamani sana iwe its just a story, but kwangu mimi huo ndio uhalisia wangu, kwenu nyie it might be just a story, ila kwangu mimi ndio uhalisia. Nimekuwa nikiingia JF as a guest user kwa zaidi ya miaka miwili sasa, na nilipokuwa nafikiria sehemu ambayo naweza nikashusha yaliyo moyoni mwangu nikaona JF ni sehemu sahihi. Kwa hiyo ugeni wangu si hoja ya kufanya mtilie mashaka niliyoandika.

2. Nimeona watu wengi humu hasa wanaume wamenitukana na kunikejeli sana, lakini inbox yangu hadi sasa imejaa PM kama 25 ambapo 22 kati ya hizo zote ni za kunitongoza.

3. Nawashukuru sana walionipa moyo na kunishauri, wengine hadi wameni PM na kunipa ushauri zaidi inbox. Mwenyezi Mungu awabariki sana. Nilishaanza kupiga hatua katika safari yangu ya kubadilika na hadi sasa ninaendelea vizuri sana, nitatilia maanani sana ushauri wenu. This is what i needed.

4. Naamini my past is the past na kama nilivyosema naamini na ninafahamu kuwa naweza kuwa mke bora kabisa na nikawa mama bora pia,uamuzi uko juu yangu na nimeshaamua tayari na kama nilivyosema, nimeshaanza kupiga hatua.
 
Ki kwetu huwa kuna msemo; kwa tafsiri isiyo rasmi ya kiswahili ni kwamba;

''maji machemu huwa hayasahau kwao baridi''.

sasa kwa msemo huo kwanza nikupe pole kwa hayo yote uliyoyapitia. lakini ushauri wangu ni huu kwamba usije ukarudia enzi zako hizo kama msemo unavyoyaeleza maji.
 
Ushauri ninaouhitaji ni jinsi ya kuweza kuacha kutamani maisha ambayo sina.uwezo nayo, tamaa ambazo mara nyingi zinataka kunirudisha nilipotoka.
kikubwa mtegemee mungu yaani fanya ibada, kama unakunywa pombe acha, badili marafiki kama ndio sababu ya hiyo tabia uliyonayo. anzisha miradi hata mdogo wa kukuongezea kipato.
 
Atakayekuoa kazi anayo, namhurumia kweli kweli.
Ushauri wangu, akuoe bure. Maana haustahili hata mahali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom