Ahsante sana kwa matusi yako. Unanitukana kiasi hicho kwa vile tuu mimi nimesema ukweli na kuelezea haya mapito yangu, je unajua story za huyo mkeo uliyemuoa? Unajua mapito yake? Naona povu limekutoka kweli kweli; unafikiri watu wote wana uelewa finyu kama wewe? Kwa taarifa yako sasa, mtu niliyenaye nimemueleza mapito yote haya niliyopitia na amekubali kuwa na mimi na kunikubali kama nilivyo na mapito yote niliyopitia. Unavyonitukana mimi hapa, je weweni mtakatifu? Mara ngapi umezini huko gizani? Mara ngapi umefanya uchafu gizani?
SAnyways, ubarikiwe sana wewe ulie mtakatifu
kedekede