Miss you more dear. Na hivi ndio nataka kupotea for a month or so. Mzima lakini?
Vipi, ulistuka?
Hehehehe, Bwa'Nchuchu mchokozi.Mmmh, mazungumzo ya Mwali na Bwa'Nchuchu :becky::becky:
EMT, you naughty boy, go to my sitting room:twitch:
Hahahaha, kumbe sometimes you do that too? Kwamba you snob a thread just because of the tittle? Mi inanitokea sana tu. And later nikija kusoma imesha fika page ya ngapi hivi naona uvivu kuchangiaJamani Mwali......yani nilikuwa naikwepakwepoa hii sredi........leo nkasema ngoja niingie!! Nikaandaa na mapigo ya moyo kabisa............dah! Hope alikupa kajotojoto ka kutosha
.Jamani Mwali......yani nilikuwa naikwepakwepoa hii sredi........leo nkasema ngoja niingie!! Nikaandaa na mapigo ya moyo kabisa............dah! Hope alikupa kajotojoto ka kutosha
What if it happens like you slept with a chick and in the morning when you wake up you find a human being on your bed? For series lovers remember a scene on "Tru Blood"Only for chiks, usije kivingine
Hiyo hutokea kwenye movies tu, I can't imagine the boddy matter of a human being packed in a fluffly little chicken doll.What if it happens like you slept with a chick and in the morning when you wake up you find a human being on your bed? For series lovers remember a scene on "Tru Blood"