Coner Bar yafunguliwa tena

Coner Bar yafunguliwa tena

Vyeo vya hovyohovyo kazi yao kuuza sura tu huyo hepi hana tofauti na bashite wote bongo movie
 
...afadhali sana...nimewahi kumkaza demu mmoja mtamu sana hapo...binti mdogo tu....tena bure...kwa bia moja tu....
 
Hao mabwan wadogo hawamjui vzuri mzee mushi

Ova
 
Toka aache kufuatana na Mama yako naona mwenendo wake ni mzuri. Mama yako anazeeka na umalayer wake kama Zidane vile
Please, msipende kujumuisha mama zenu kwenye mabishano yenu ya kishenzi, mnajitakia laana za bure tu
 
Serikali inabidi kuwalipa wenye mali kama wanamipango mizuri na Watanzania... Huwezi kuwa na mipango mizuri huku unaumiza wengine pale Bar kuna Wafanyakazi kadhaa wanapatia ujila wao na pia Mwenye mali kawekeza haswa na wateja ndio hao wanajaa wenyewe na siku zote fisi hachezi mbali na Simba hao madada poa kiukweli hukaa nje kabisa na hawahusiani na Bar So Serikali kama imeona hawawezi hao madada poa kuwakamata basi imlipe finia mwenye Bar ajue kingine cha kufanya... au afanye biashara nyingine... Uonevu wa ghafla ni roho za chuki tu. hakuna kingine na kutafuta sifa za kijinga. Mahakamani mkipelekwa mnashindwa... Vifungu haman vya kukataza,Ndoa pia cheti cha kuzaliwa si lazima,Kufungua Matairi na kuyauza gari zilizofanya makosa pia Vifungu va Sheria hakuna Mahakamani ndipo penye haki
 
Siwezi kushangaa kama mkuu kachukua chochote kitu hapo maana sababu za kuifungia kona bar bado zingalipo. Tuache unafiki, k kuuzwa ni jambo la kawaida. Kama hatuwezi kuhalalisha basi tusumbe macho watu waendelee kutumia mitaji yao ya asili wakati tunasubiri milioni 50 kwa kila kijiji.
 
zile gesti bubu pale nyuma ya kona baa,zilikosa wateja kabisa.
 
Back
Top Bottom