Coner Bar yafunguliwa tena

Coner Bar yafunguliwa tena

Sababu za kufungiwa zilikuwa zipi hasa?je wameshajisahihisha?
 
bora bar yetu pendwa imerudi mzigon tena..
 
watu walikua wanachekecha wapewe mlungula washavuta ndo wanawafungulia....... tatizo la kua na serikali ya vijana wanaopenda maisha mazuri
 
watu walikua wanachekecha wapewe mlungula washavuta ndo wanawafungulia....... tatizo la kua na serikali ya vijana wanaopenda maisha mazuri

siku hizi kila mtu mwenye kacheo hata ka kukaimu ana mamlaka ya kufanya vile anavyojisikia
 
Habari mbaya sana za ulevi na ukahab* leo. Umeharibu siku yangu !!

Hata hivyo wakalas wa barabara T*NROADS ndiye alipaswa kufungiwa kwani hao wadudu hujianika hifadhi ya barabara na sio kwenye kitalu cha mmiliki.

Sio kila kitu lazima kikupendeze, kisipokupendeza wewe kinawapendeza wengine.. Provide kwamba hakuna mkamilifu wacha dili chafu ziendelee Mungu ndo atahukumu.
 
Mie mwenzio shushushu VIP sijawahi kufika Dar, naomba unipe mawili matatu kuhusu hiyo baa, ina vinono sana nikimaanisha vyakula maana baa ni jiko? wahudumu wake wanajua sana huduma kwa wateja wao? bei zao ziko sawa naza baa zingine au wamejitofutisha? naomba unipe picha ya hiyo baa please shushushu VIP
Narud tena
 
Ukimwi unakuita! Jombaa
Acha kumtisha mwenzio,hao madada wa corner bar wengi wao wanatumia kinga tofauti na wake za watu au madada ambao mnasema ni wachumba au mademu zenu ambao hawajiuzi waziwazi,kuna mademu ambao wanamilikiwa na wanaume zaidi ya kumi na kila mtu anahudumia,na hawajijui,na mbaya zaidi hawataki kutumia kinga kwasababu wanadai hawapati utamu halisi.Rai yangu kwa baadhi ya watu wenyekasumba ya kuamini kua ukienda kwa hawa wanawake wanaojiuza nikuhatarisha maisha,waachane na hiyo kasumba,utafiti unaonyesha hao madada wanaojiuza wengi wao ni salama kuliko wake za watu na baadhi ya mademu wanaojiuza kisirisiri ambao wengine wamesoma hii coment yangu.
 
Back
Top Bottom