Condomu kwa wanawake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Condomu kwa wanawake

Discussion in 'JF Doctor' started by Kaitaba, Jul 1, 2009.

 1. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Imethibitika kuwa condomu haina uwezo wa kuzuia ukimwi kwa wanawake kama ilivyo kwa wanaume, kwa sababu ile chuchu ya mbele ya condomu inao uwezo wa kubeba 2.5ml za shahawa na wakati huo mwanaume mwenye afya kamili anatoa 5ml-15ml, hivyo kupelekea kiasi kingine kinachobaki baada ya chuchu kujaa kinapanda kwa kufuata uume na kumwagika kwenye uke na hivyo kupelekea maambukizo,

  utajiuliza mbona mimba hazipatikani, hii inatokana na mbegu kufa kwa sababu seminal fluid inapopanda juu kunakuwa na friction ambayo inaongeza temp. na kuuwa mbegu.

  Hakina mama hacheni kutumia condomu kuweni waaminifu kwa ndoa zenu, na hii inapelekea wanawake kuongoza kwa maambukizi kuliko wanaume.
   
  Last edited: Jul 1, 2009
 2. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  ..........
   
Loading...