Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,041
Mzigo huu hapa
Kondomu sio tamuHabari Wana jamii forum,
Mimi ni mfanyabiashara wa duka la rejareja, naomba kuukiza condom gani ni nzuri na Zina utamu Sana niweke dukani kwangu na zitapendwa na wateja na Zina utamu Sana
Rough Rider naikubali sana kama upo peku(nyama kwa nyama)Mzigo huu hapaView attachment 3116096
Ila Elly jamani, zipo zinaitwa Rough rider.cocastic kuna condoms zenye/yenye utamu sana?


