Computer imegoma kuwaka...tafadhali naomba msaada wenu.

Dell-Inspiron 6000. Inawaka na kukata kabla haijadisplay chochote

Hiyo laptop yako inaiwasha ukitumia betri au power adapter? Kama unatumia betri basi bila shaka betri yako itakuwa imekufa hivyo haiwezi kuhifadhi chaji tena na ndio maana laptop yako inazima. Na kama unatumia power adapter basi bila shaka hiyo power adapter ina tatizo. Njia rahisi ya kutroubleshoot hili tatizo ni kutafuta power adapter kama ya laptop yako na yenye voltage sawa na ujaribu kuitumia kwenye computer yako uone kama itawaka.
 
shukrani mkuu..nshaachana na hiyo PC ilikuwa majanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom