Computer imegoma kuwaka...tafadhali naomba msaada wenu.

Powe adaptor ina tatizo. Nunua na test na adaptor mpya tatizo likiendelea itakuwa ni power supply
 
Mkuu hayo yamenifika juzijuzi tu--kwangu ilikua ni vumbi katka feni--sio adaptor wala nini-inajizima ilikuokoa processor isje kuungua.
 
Mkuu hayo yamenifika juzijuzi tu--kwangu ilikua ni vumbi katka feni--sio adaptor wala nini-inajizima ilikuokoa processor isje kuungua.

Lakini location ya fan ya latptop mpaka fan izime kwa ajili ya vumbi basi inawezekan hiyo laptop anaitumia kwenye mashine ya kusaga unga.

Fan ya desktop computer r iko vulnerable zaidi ya fan ya laptop
 
seriously, hio inaweza ikawa ni board ishu!

Ure right but board ni too general .Specifically inaweza kuwa ni power supply or power IC Mimi siamini kama MOBO inaweza kufa nzima nzima

Watu wanatupa laptop zao kumbe kuna kakifaa kadogo tu kamebuma wakidhani ni Mother board nzima
 
Nashukuru kwa yote, ila 2 weeks ago ilifanya hivyo lakini baadaye ikawaka
 
Nashukuru kwa yote, ila 2 weeks ago ilifanya hivyo lakini baadaye ikawaka

Kama ni hivyo sina uzoefu na laptop ya dell lakini nina uzoefu na vifaa fulani vya wirelss kama breezenet na alvarion . VIkianza mara vinawaka mara vinagoma linakuwa ni tatizo la Power adaptor.

But tembelea na jamaa wa Dell.com uone kama hilo ni tatizo common au known. ili siku ikizima moja kwa moja ujue njia za kulifufua bila kutanga tanga. Vile vile inajizima ukiiwasha ikiwa wapi kwenye godoro ? je inapumua vizuri ?

Maane kuweka latop sehemu kama kwenye kitanda inashinwa kumpuma vizuri tena kwa joto la bongo.
 
inafika stage gani ndo inazima? jaribu kurepair hiyo window huenda boot files zimecorrupt
 
nilikuwa napata tatizo kama hilo wiki jana nika nunua UPS tatizo limekwisha kabisa.Yaweza ikawa umeme unakuwa unacheza cheza ndio inatokea hivyo

Tujulishe kama ulikuwa unatumia UPS.Lakini kabla ya kufika kwenye UPS jaribu kuiwasha usiku wa saa sita kwa umeme huwa umetulia kidogo
 
Unapotumia UPS kwenye laptp si kama unakuwa na UPS mbili. Betri ya laptop ina kazi gani sasa.? No need ya kuwa na UPS kamauna laptop yenye betri inayofanya kazi
 
nilikuwa napata tatizo kama hilo wiki jana nika nunua UPS tatizo limekwisha kabisa.Yaweza ikawa umeme unakuwa unacheza cheza ndio inatokea hivyo

Tujulishe kama ulikuwa unatumia UPS.Lakini kabla ya kufika kwenye UPS jaribu kuiwasha usiku wa saa sita kwa umeme huwa umetulia kidogo

UPS ni nini?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom