rainy forest
Member
- Sep 15, 2014
- 91
- 41
- Thread starter
- #21
Kaombewe.., usichoke. Uliyataka mwenyewe.
Hivi waweza kutaka kuzaliwa kwenye aina fulan ya familia?
Kaombewe.., usichoke. Uliyataka mwenyewe.
na sheria zetu pia,mfano sheria za kiislam hazimtambui kabisa mtoto wa nje, sasa kama utambuliki utashirikije shuguli za kijamii?
Kikubwa kinachangia na malezi ambayo mtu analelewa kabla ya kublend in.
mwanamke naye akiolewa na mwanume mwenye mtoto, lazima watawasiliana na mama wa mtoto mwisho wa siku ni tafrani tu.Duh shida juu ya shida Mwanaume kuoa mwanamke mwenye mtoto utadhani vigoli vimeisha mwisho wa siku mwenye mtoto akianza mawasiliano na Mama (mzazi mwezake) tafrani haziishi.
tatizo lililopo ni la kimfumo na mara nyingi husababishwa na mwanamke (huyo mama aliyeolewa) kwanza hupenda kila alichonacho mme wake kiwe ni kwa ajili ya watoto aliozaa na mumewe au wa kwake aliozaa kabla sio wa mwanaume aliozaa kabla au nje.
Kutokana na hilo hujengwa mazingira magumu ya hao watoto kutokuwa na chao kwenye familia hiyo ndio hapo matatizo huanzia,maana na hao watoto wanapokuwa wakubwa hushindwa kufanya jambo la maana kwao kwa vile mama muhusika hawahitaji au watoto wa mama huyo watakuwa wamedokezwa hivyo kuwa wao ndio wastahili.
Hivi waweza kutaka kuzaliwa kwenye aina fulan ya familia?
I real feel you ...saaana ila usijiskie hivyo teeena..yuko rafiki zaidi ya ndugu naye yuko karibu zaidi ya vazi lako..daah tangu niifahamu siri hii upweke ulikwisha natamani uijueaf unakuta tayari umeshakuwa mtu mzima.
Kila ukikaa huoni mtu wa kushea nae jambo lake kisa tu wenzio wana bond wewe uko kaa kitoto cha kunguru.
very touching
Kwa uzoefu wangu wababa wengi si watu wa kukaa nyumbani muda mrefu mama anaweza na hasa ndiye chanzo cha chokochoko nyingi maana yeye kama hajakuzaa hawezi kuwa na uchungu na wewe (wengi wao)na atafanya kila namna kuhakikisha baba yako anakuchukia ili asikuhudumie....kwa hili huwezi kumuelewa baba ako hasa kama ulikua unampenda na kumuamini kuwa ndio mtetezi wako..usimchukie wengi ni wadhaifu kwa wake zao ..usiwafikirie wala usijiulize kwanini..wasamehe ili uweze kusonga mbele na maisha yako pia ili wasikuzuilie baraka zao.Hivi kwani tatizo la kutokuwa na amani kwenye hizi familia huanzia wapi?
Kwani akina baba je hawawez kukumbatia watoto wao na kuwaacha wale waliozaliwa na mama?
Hii nayo kali manake sasa wanaassume ni wanyama ama ni watu??
Hii ni mbaya zaid
Hapo bado yule ambaye mama kaja naye yaani kazaliwa na baba mwingine ..wewe wa baba ambapo naye alikuzaa ujanani huyo huna undugu naye hata punje ila sasa sababu ya mamaake pale ndio anapafanya kwao..anakua mtu mzima keshaolewa ila akikosa hg anakimbilia pale wakati wewe mwenye baba huwezi kumpeleka mtoto wako pale...jamani ambao hamjaoa/hamjaolewa jifunzieni hapa...hiii inaumiza mnoooooooooo zaidi ya unavyoweza kuitamka usipoweza kupotezea unaweza kumchukia kila mtuUnakuta mtoto kwa baba wako sita kwa mama wapo wanne...lakini yeye yupo alone...very lonely for some...
Hivi kwani tatizo la kutokuwa na amani kwenye hizi familia huanzia wapi?
Kwani akina baba je hawawez kukumbatia watoto wao na kuwaacha wale waliozaliwa na mama?
Duh shida juu ya shida Mwanaume kuoa mwanamke mwenye mtoto utadhani vigoli vimeisha mwisho wa siku mwenye mtoto akianza mawasiliano na Mama (mzazi mwezake) tafrani haziishi.
rainyforest mimi nadhani kunajambo la muhimu amabalo ulitaka kuliweka hapa lakini ukaamua kuja juu juu, kama ulivyo sema kwa experience yako. mimi nadhani sio familia zote za aina hiyo zina shida kwa maana pia zipo familia zisizo blended lakini zina matatizo lukuki. matatizo katika familia yanatokana na malezi mama aliyokulia na baba alio kulia. usitegemee from the worst to get the bestNianze kwa kukiri kwamba sina nia ya kuhukumu manake hakuna msafi kati yetu. Lakini pia napenda tu niseme hili ili kama kuna aliyekusudiwa kupona basi apone.
Kuna hizi famila ambazo siku hizi wanaziita blended family maana yake familia iliyochanganywa. Imechanganywa watoto hasa hasa. Unakuta baba kabla ya kuoa alisha wahi kuwa na mtoto/watoto ama mama kabla ya kuolewa alisha wah kuwa na mtoto/watoto. Halafu kwa makubaliano yao (wazazi) wkaamua kuunda familia moja yenye watoto mchanganyiko wa upande tunashea baba upande tunashea mama.
Kwa experience yangu hizi familia ni matatizo sana hasa watoto wanapokuwa wakubwa. Achilia mbali wakiwa wadogo wapo watakao lalamika kuteswa na mzazi asokuwa wake lakini ukubwani hali huwa mbaya zaidi. Nimeangalia familia nyingi ambazo nazifahamu hili limekuwa ni tatizo na cha ajabu zaid ni tatizo kwenye umri wa utu uzima. Maugomvi ya kila siku, kesi kila iitwapo leo, wakikutana utafikiri wamekutana kwa amani lkin baada ya muda kidogo ni vita yaani familia inageuka Gaza. Alafu sababu zenyewe za ugomvi nyingine unazikuta ni za kitoto kama sio za kijinga.
Wenzangu nyie mmewah kuona familia za aina hii?
Kama ni familia yako wewe huwa unafanyaje?
Binafsi mie nimechoka.
vipi kuhusu mwanaume kuwa na mtoto na kuoa mwanamke asiye na mtoto..unalizungumziaje hili?
Unajua kuna maswala ya mabinti kuwaza kwamba nikizaa nitaweza kupata mume na akanikubali mimi na watoto wangu, well sikatai utapata, lakin asikwambie mtu hili ni jambo gumu sana kuliishi. linaumiza sana na linaleta hata chuki miongoni mwa watoto.Hapo bado yule ambaye mama kaja naye yaani kazaliwa na baba mwingine ..wewe wa baba ambapo naye alikuzaa ujanani huyo huna undugu naye hata punje ila sasa sababu ya mamaake pale ndio anapafanya kwao..anakua mtu mzima keshaolewa ila akikosa hg anakimbilia pale wakati wewe mwenye baba huwezi kumpeleka mtoto wako pale...jamani ambao hamjaoa/hamjaolewa jifunzieni hapa...hiii inaumiza mnoooooooooo zaidi ya unavyoweza kuitamka usipoweza kupotezea unaweza kumchukia kila mtu
Sikiliza mkuu mie nia yangu ni kusema hivii mara nyingi sana blended families ni ngumu sana kuziishi. Na hizi matatizo huanzia watoto wakisha kuwa wakubwa. Wakiwa wadogo wataishi vizuri tu ila sasa wakisha kuwa wakubwa, utajuta kuwa nao. Amani nyumban hutoweka visasi na maugomvi hayakomi, kila mtu ni mbabe ndani ya nyumba alafu unakuta yule ambaye ndo hana ndugu ndo mkorofi kila sasa anaona yeye ndo anaonewa.rainyforest mimi nadhani kunajambo la muhimu amabalo ulitaka kuliweka hapa lakini ukaamua kuja juu juu, kama ulivyo sema kwa experience yako. mimi nadhani sio familia zote za aina hiyo zina shida kwa maana pia zipo familia zisizo blended lakini zina matatizo lukuki. matatizo katika familia yanatokana na malezi mama aliyokulia na baba alio kulia. usitegemee from the worst to get the best
Kukwepa jambo hili ni ngumu sana.Tatizo linakuja pale mnapotolea macho urithi kutoka kwa wazazi.Ila kila mti akijitahidi akawa njema kimaisha matatizo huwa yanapungua.Nianze kwa kukiri kwamba sina nia ya kuhukumu manake hakuna msafi kati yetu. Lakini pia napenda tu niseme hili ili kama kuna aliyekusudiwa kupona basi apone.
Kuna hizi famila ambazo siku hizi wanaziita blended family maana yake familia iliyochanganywa. Imechanganywa watoto hasa hasa. Unakuta baba kabla ya kuoa alisha wahi kuwa na mtoto/watoto ama mama kabla ya kuolewa alisha wah kuwa na mtoto/watoto. Halafu kwa makubaliano yao (wazazi) wkaamua kuunda familia moja yenye watoto mchanganyiko wa upande tunashea baba upande tunashea mama.
Kwa experience yangu hizi familia ni matatizo sana hasa watoto wanapokuwa wakubwa. Achilia mbali wakiwa wadogo wapo watakao lalamika kuteswa na mzazi asokuwa wake lakini ukubwani hali huwa mbaya zaidi. Nimeangalia familia nyingi ambazo nazifahamu hili limekuwa ni tatizo na cha ajabu zaid ni tatizo kwenye umri wa utu uzima. Maugomvi ya kila siku, kesi kila iitwapo leo, wakikutana utafikiri wamekutana kwa amani lkin baada ya muda kidogo ni vita yaani familia inageuka Gaza. Alafu sababu zenyewe za ugomvi nyingine unazikuta ni za kitoto kama sio za kijinga.
Wenzangu nyie mmewah kuona familia za aina hii?
Kama ni familia yako wewe huwa unafanyaje?
Binafsi mie nimechoka.
Kukwepa jambo hili ni ngumu sana.Tatizo linakuja pale mnapotolea macho urithi kutoka kwa wazazi.Ila kila mti akijitahidi akawa njema kimaisha matatizo huwa yanapungua.
Kwa siku hizi utakuta hata watoto wa baba mmoja mama mmoja nao hawapatani.
rainyforest mimi nadhani kunajambo la muhimu amabalo ulitaka kuliweka hapa lakini ukaamua kuja juu juu, kama ulivyo sema kwa experience yako. mimi nadhani sio familia zote za aina hiyo zina shida kwa maana pia zipo familia zisizo blended lakini zina matatizo lukuki. matatizo katika familia yanatokana na malezi mama aliyokulia na baba alio kulia. usitegemee from the worst to get the best