Complications of blended families

Complications of blended families

rainy forest

Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
91
Reaction score
41
Nianze kwa kukiri kwamba sina nia ya kuhukumu manake hakuna msafi kati yetu. Lakini pia napenda tu niseme hili ili kama kuna aliyekusudiwa kupona basi apone.

Kuna hizi famila ambazo siku hizi wanaziita blended family maana yake familia iliyochanganywa. Imechanganywa watoto hasa hasa. Unakuta baba kabla ya kuoa alisha wahi kuwa na mtoto/watoto ama mama kabla ya kuolewa alisha wah kuwa na mtoto/watoto. Halafu kwa makubaliano yao (wazazi) wkaamua kuunda familia moja yenye watoto mchanganyiko wa upande tunashea baba upande tunashea mama.

Kwa experience yangu hizi familia ni matatizo sana hasa watoto wanapokuwa wakubwa. Achilia mbali wakiwa wadogo wapo watakao lalamika kuteswa na mzazi asokuwa wake lakini ukubwani hali huwa mbaya zaidi. Nimeangalia familia nyingi ambazo nazifahamu hili limekuwa ni tatizo na cha ajabu zaid ni tatizo kwenye umri wa utu uzima. Maugomvi ya kila siku, kesi kila iitwapo leo, wakikutana utafikiri wamekutana kwa amani lkin baada ya muda kidogo ni vita yaani familia inageuka Gaza. Alafu sababu zenyewe za ugomvi nyingine unazikuta ni za kitoto kama sio za kijinga.

Wenzangu nyie mmewah kuona familia za aina hii?
Kama ni familia yako wewe huwa unafanyaje?
Binafsi mie nimechoka.
 
Inatakiwa busara kuweza kuishi na watu jifunze kupotezea hasa kama umeshagundua kuwa sababu za ugomvi ni za kijinga ..usikubali kuwa mjinga kila siku jitoe katika hilo kundi wewe binafsi waeleweshe wenzio ,wafundishe upendo: ambapo tunaambiwa ...[TABLE="width: 90%"]
[TR]
[TD]Mwenye upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu, hajidai, wala hajivuni.[TABLE="width: 90%"]
[TR]
[TD]Mwenye upendo hakosi adabu, hatafuti faida yake binafsi, wala hana wepesi wa hasira; haweki kumbukumbu ya mabaya,[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]hafurahii uovu, bali hufurahia ukweli.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwenye upendo huvumilia yote, huamini yote, na hustahimili yote..
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
ombeaneni hilo pepo la magomvi likimbie
 
Swala la mkuomba sipingani nalo.
lakin nataka kujua hivi na nyie wenzangu familia zenu zilizochanganywa zina magomvi magomvi?
najiuliza laaabda ni kwasababu sote si wababa na mama mmoja?
Inatakiwa busara kuweza kuishi na watu jifunze kupotezea hasa kama umeshagundua kuwa sababu za ugomvi ni za kijinga ..usikubali kuwa mjinga kila siku jitoe katika hilo kundi wewe binafsi waeleweshe wenzio ,wafundishe upendo: ambapo tunaambiwa ...[TABLE="width: 90%"]
[TR]
[TD]Mwenye upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu, hajidai, wala hajivuni.[TABLE="width: 90%"]
[TR]
[TD]Mwenye upendo hakosi adabu, hatafuti faida yake binafsi, wala hana wepesi wa hasira; haweki kumbukumbu ya mabaya,[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]hafurahii uovu, bali hufurahia ukweli.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwenye upendo huvumilia yote, huamini yote, na hustahimili yote..[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
ombeaneni hilo pepo la magomvi likimbie
 
rainy forest,
Ni vitu ambavyo vipo wakati mwingine nakuelewa sababu kuna wakati nilikua hapo 'walk away frm troubles if you can' jiulize kwanini hadi leo Israel na Palestina wanagombana?utapata jibu kumbuka wale nao ni blended family kwahiyo sio nyie wenyewe...jifunzie hapo wewe binafsi omba Mungu akusaidie usije rudia makosa ya wazazi..watoto wako wasijepitia hiyo xperience binafsi siipendi.
 
si ya kwetu imechanganywa lakini tunaishi kwa amani tu...
omba MUNGU awape upendo, ndo kitu cha kuijenga familia
 
Unakuta mtoto kwa baba wako sita kwa mama wapo wanne...lakini yeye yupo alone...very lonely for some...
 
Inatakiwa busara kuweza
kuishi na watu jifunze kupotezea hasa kama umeshagundua kuwa sababu za
ugomvi ni za kijinga ..usikubali kuwa mjinga kila siku jitoe katika hilo
kundi wewe binafsi waeleweshe wenzio ,wafundishe upendo: ambapo
tunaambiwa ...[TABLE="width: 90%"]
[TR]
[TD]Mwenye upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu,
hajidai, wala hajivuni.[TABLE="width: 90%"]
[TR]
[TD]Mwenye upendo hakosi adabu, hatafuti faida yake binafsi, wala hana
wepesi wa hasira; haweki kumbukumbu ya mabaya,[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]hafurahii uovu, bali hufurahia ukweli.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwenye upendo huvumilia yote, huamini yote, na hustahimili yote..
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
ombeaneni hilo pepo la magomvi likimbie

poleeeeeeeee
 
Kweli huwa mara nyingi huleta ugomvi hasa km baba ndio alikuwa na mtoto...Wamama mara nyngi wamekuwa na roho mbaya kutopenda watoto wa wenzao..Na hasa pale ambapo mwanamke aliyezaa na baba yupo hai ndio inakuwa tafran...Pili hupelekea wawili wale waliozaa kuwa wanakutana kujadili mambo kuhusu mtoto hapa mmmhh wkt mwingine hurudiana kimapenzi na kuleta tafrani ktk ndoa sababu ya wivu...

Kwa upande wa mwanamke akiwa alishazaa huwa mara nyingi haiwi soo sana sababu wanaume hawana roho mbaya...wapo ila wachache sana...Na mwenye kuhudumia sana nyumba ni mama so anaweza kuwalea watoto tuu vizuri wakaelewana...


Nianze kwa kukiri kwamba sina nia ya kuhukumu manake hakuna msafi kati yetu. Lakini pia napenda tu niseme hili ili kama kuna aliyekusudiwa kupona basi apone.

Kuna hizi famila ambazo siku hizi wanaziita blended family maana yake familia iliyochanganywa. Imechanganywa watoto hasa hasa. Unakuta baba kabla ya kuoa alisha wahi kuwa na mtoto/watoto ama mama kabla ya kuolewa alisha wah kuwa na mtoto/watoto. Halafu kwa makubaliano yao (wazazi) wkaamua kuunda familia moja yenye watoto mchanganyiko wa upande tunashea baba upande tunashea mama.

Kwa experience yangu hizi familia ni matatizo sana hasa watoto wanapokuwa wakubwa. Achilia mbali wakiwa wadogo wapo watakao lalamika kuteswa na mzazi asokuwa wake lakini ukubwani hali huwa mbaya zaidi. Nimeangalia familia nyingi ambazo nazifahamu hili limekuwa ni tatizo na cha ajabu zaid ni tatizo kwenye umri wa utu uzima. Maugomvi ya kila siku, kesi kila iitwapo leo, wakikutana utafikiri wamekutana kwa amani lkin baada ya muda kidogo ni vita yaani familia inageuka Gaza. Alafu sababu zenyewe za ugomvi nyingine unazikuta ni za kitoto kama sio za kijinga.

Wenzangu nyie mmewah kuona familia za aina hii?
Kama ni familia yako wewe huwa unafanyaje?
Binafsi mie nimechoka.
 
Duh shida juu ya shida Mwanaume kuoa mwanamke mwenye mtoto utadhani vigoli vimeisha mwisho wa siku mwenye mtoto akianza mawasiliano na Mama (mzazi mwezake) tafrani haziishi.
 
sijui kwenye kupewa urithi huwa inakuwaje hapo?

Huwa ni shida.Kuna familia naifaham ni blended hatari.Mama kabla ya ndoa alikua na watoto wawili, baada ya ndoa akazaa wawili.Akiwa ndani ya ndoa akachepuka akapata mimba akazaa, na mwanaume nae akachepuka akapata na yeye mtoto.

Kimbembe kikaja yule baba kuna kipindi alikua hoi kitandani mwanamke anamforce aandike urithi.Aligoma kumuandika yule mtoto wa mwanamke ( zao la mchepuko).Palikua hapatoshi ni ugomvi mpk ilibidi aandikiwe na ye urithi.
 
Kikubwa kinachangia na malezi ambayo mtu analelewa kabla ya kublend in.
 
Ufafanuzi kiducho nani yuko alone.

Ambae hana ndugu yake wa baba mmoja na mama mmoja....ndugu zake kwa mama wana bond ...kwa baba wana bond...yeye labda huku yuko na kule yupo...but damu moja for both yupo peke yake
 
tatizo lililopo ni la kimfumo na mara nyingi husababishwa na mwanamke (huyo mama aliyeolewa) kwanza hupenda kila alichonacho mme wake kiwe ni kwa ajili ya watoto aliozaa na mumewe au wa kwake aliozaa kabla sio wa mwanaume aliozaa kabla au nje.

Kutokana na hilo hujengwa mazingira magumu ya hao watoto kutokuwa na chao kwenye familia hiyo ndio hapo matatizo huanzia,maana na hao watoto wanapokuwa wakubwa hushindwa kufanya jambo la maana kwao kwa vile mama muhusika hawahitaji au watoto wa mama huyo watakuwa wamedokezwa hivyo kuwa wao ndio wastahili.
 
na sheria zetu pia,mfano sheria za kiislam hazimtambui kabisa mtoto wa nje, sasa kama utambuliki utashirikije shuguli za kijamii?
 
rainy forest,
Ni vitu ambavyo vipo wakati mwingine nakuelewa sababu kuna wakati nilikua hapo 'walk away frm troubles if you can' jiulize kwanini hadi leo Israel na Palestina wanagombana?utapata jibu kumbuka wale nao ni blended family kwahiyo sio nyie wenyewe...jifunzie hapo wewe binafsi omba Mungu akusaidie usije rudia makosa ya wazazi..watoto wako wasijepitia hiyo xperience binafsi siipendi.
Katika vitu ambavyo am praying vipishe mbali ni haya ya kuzaa watoto mchanganyiko.
Kwa ninavyojione am scared ila ukweli ni ngumu sana
 
Unakuta mtoto kwa baba wako sita kwa mama wapo wanne...lakini yeye yupo alone...very lonely for some...

af unakuta tayari umeshakuwa mtu mzima.
Kila ukikaa huoni mtu wa kushea nae jambo lake kisa tu wenzio wana bond wewe uko kaa kitoto cha kunguru.
very touching
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom