Compare between Dar Lux na ndege za panga boi

Compare between Dar Lux na ndege za panga boi

Mpeni President a chance to do his work. Na tusikosoe sana ni aibu hata kwa mataifa jirani.

Kodi yetu ndio imetumika kununua hizo ndege sio hayo mabasi. Tujifunze kujipenda na kujiheshimu.
Hatukosoi. Tunahitaji kujua kama kweli pesa iliyotumika kununua hizi ndege inaendana nayo. Iyo pesa ni kodi yetu aseee
 
Kwanza bei tu,na pia hilo ni basi na hiyo ni ndege ,speep pia,nafikiri unatumia makalio kutofautisha ewe mburura
 
Dar Lux imeizidi Pangaboi kwa mbali sana tena mno,Pangaboi kwa ndani imekaa kama zile Dala Dala za Mbagala Rangi3 kwenda Chasimba na Kiburugwa.
jamani nyie vibaya mjue ndio mkuu anawaleta malaika wafunge hii kwanza mwaka mmoja tu unatosha.
 
Kwanza bei tu,na pia hilo ni basi na hiyo ni ndege ,speep pia,nafikiri unatumia makalio kutofautisha ewe mburura
Umeona wapi nimetofautisha mimi. Au Wajikanyaga mwengewe
 
Linatumia muda gani from DSM to Mwanza?
Kwangu bado air Magufuli is the best option
Ushaambiwa achana na speed!!
Kama angetaka kulinganisha speed angefananisha mapanga shaa na ndege ya jeshi.

Kama unataka speed kapande ndege ya jeshi!!
 
Ndege ni ndege tuu hata iwe ya Jeshi uwezi fananisha na basi hata zile Greyhound five star bus huwezi fananisha na bus...basi dereva akifunga breki ghafla unaanza kuangalia mbele kuna nini...
Soma halafu u edit although nazijua Greyhound
 
Hivi kweli safari ya masaa 14 na safari ya lisaa 1 45 we unaona vina fanana?? Rudishule we mtoto
 
Na ujinga zaidi ni pale unapotaka kuwaaminisha Watanzania ndege zote ni sawa.
1475208683932.jpg
1475208699464.jpg
 
Hyo ndege siyo luxury..ukitaka luxury go for the other options...ata ndege huwa zina clases...business..executive n.k
 
Hatukosoi. Tunahitaji kujua kama kweli pesa iliyotumika kununua hizi ndege inaendana nayo. Iyo pesa ni kodi yetu aseee

Hata kama haiendani nayo utafanyaje???????? Learn to deal with things you can control mkuu, this is out of your control so please let the President do his work.

Remember

Romans 13:1-7

Every person is to be in subjection to the governing authorities For there is no authority except from God, and those which exist are established by God. Therefore whoever resists authority has opposed the ordinance of God; and they who have opposed will receive condemnation upon themselves.

For rulers are not a cause of fear for good behavior, but for evil. Do you want to have no fear of authority? Do what is good and you will have praise from the same, for it is a minister of God to you for good.

But if you do what is evil, be afraid; for it does not bear the sword for nothing; for it is a minister of God, an avenger who brings wrath on the one who practices evil. Therefore it is necessary to be in subjection, not only because of wrath, but also for conscience' sake.

For because of this you also pay taxes, for rulers are servants of God, devoting themselves to this very thing. Render to all what is due them: tax to whom tax is due; custom to whom custom; fear to whom fear; honor to whom honor.
 
Hivi kweli safari ya masaa 14 na safari ya lisaa 1 45 we unaona vina fanana?? Rudishule we mtoto
Wewe ninauhakika ni kat ya wale wasioelewa,husomi maelezo kwanza ukaelewa. Ww wakurupuka 2.
 
jamani nyie vibaya mjue ndio mkuu anawaleta malaika wafunge hii kwanza mwaka mmoja tu unatosha.
Hakuna shida!! Nipo mapangoni hapa ndani ya mlima fulani na wataalam tunatafuta namna ya kumdhibiti huyo malaika!!
Baaa ya wiki 2 tutaanza kuimba "aje na rafiki zakeee, ajeee!!"
 
Hyo ndege siyo luxury..ukitaka luxury go for the other options...ata ndege huwa zina clases...business..executive n.k
MTUI HAPO UMENENA UKWELI.
Ukimaanisha haifai interms of business.
 
Unajua kinachowafanya viongozi washambuliwe ni chuki za watu dhidi ya chama tawala.Kama kusingekuwa na historia mbaya kati ya raia wengi na chama haya yote yasingekuwepo.Hata J P Ma asingefikiria kuomba msaada wa malaika kuja kuzipoteza JF,fb,twitter,instagram nk.
Na chuki ni kubwa sana rohoni mwa watu, na watu walijua kuwa mkulu huyu ni tofauti kiasi na waliopita kwa kutoshabikia na kutukuza vyama vyao lkn kumbe ni zaidi ya ilivyokuwa, na pia viongozi wanamwaga mafuta ktk moto unaotaka kuwaka, wanaweza kuona ni rahisi kudhibiti hali lkn ukisoma historia za nchi kama Rwanda unaogopa pale mtu anapokuwa na chuki iliyolundikana rohoni
 
Japo ndege mpya ni 2x2, nafasi kati ya kiti ni ndogo. Watu warefu watapata shida hata kama mwendo ni saa moja. Ni ngumu kuzipeleka kimataifa
 
Dar Lux imeizidi Pangaboi kwa mbali sana tena mno,Pangaboi kwa ndani imekaa kama zile Dala Dala za Mbagala Rangi3 kwenda Chasimba na Kiburugwa.
Hiyo Dar lux inapaa na kutua uwanja gani km wewe siyo mpotoshaji? Ndege na basi wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom