Maseke ya Meme
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 699
- 919
WanaJF kuna rumours hapa mtaani na vijiweni kwamba kampuni mpya ya ndege ya "COMMUNITY AIRLINES" ni ya Anthony Diallo
Actually hatumpaki matope lengo ni kupata ukweli tu!Si tetesi tu. Ni mmojawapo kati ya wadau wakuu wa Community Airlines. Uzuri wa huyu jamaa si kama amepata ngawira toka kwenye siasa. Acha kumpaka matope. The guy seems to be clean. Hana mi-skendo ya kipuuzi.
Pia Star Tv hawaishi kuitangaza kila baada ya sekunde kadhaa huku wakionyesha na viwango vya nauli. Ni sawa na Radio One wanavyokuwa wanalitangaza gazeti lao kila siku 'lenye habari motomoto na zenye utafiti' Alasiri.
Nampongeza Diallo kwa jitihada zake na wazalendo tuko nyuma yake.
mNyOo
Nauliza,
Hiyo 119,000 Nauli Dar-Mwanza kwenda na kurudi? Au ni one way? Sijasarifia hii route mda mrefu sasa! Je wana ndege ngapi na zinaenda wapi Tz?
119,000 Tshs ni one way, nafikiri inakwenda na Kilimanjaro nauli yao ni Dar - KJO 99,000/= kwa kweli amejaza ndugu zake wanakera kweli unapokata ticketi, wabeba mizigo guyz are not competent at all watoto wa mjomba...binamu etc...huduma zao ni fake kweli ndani ya ndege..wanagawa maji na juicy tuu no bugger nothing...hwakawii kukwambia soda zimekwisha na hatugawi kakinywaji maana bei zetu ni chini we provide basic services...kwa mtizamo wangu ATC wako juu wakiacha ubabaishaji na ujinga ujinga...nilisha safiri nao some yrs back route hiyo Dar -Mwanza, msosi ulikuwa wa kutosha na kanywaji ka kumwaga...
Ushirombo,
Yaani wewe ukisafiri ni hadi upate msosi wa nguvu???? Kwi kwi kwi! Hii si cheap Airlines na ni short distance?
Well kuajiri ndugu ktk kampuni binafsi -inabidi wawe competent- laa sivyo atafukuza wateja! Kusema kweli ni vigumu sana kama mjomba wangu ana kampuni la ndege -mimi nikiomba hata kazi ya ulinzi- aninyime! Kuondoa ajira za ndugu 100% mashirika binafsi ni ngumu!
Nilikuwa Juzi likizo bongoland, ... nimeona kuna waturuki wanafanya kazi mle kama wahudumu sasa nashindwa kujua hata kazi za kuhudumia nazo zifanywe na wageni...