Comment za kuchekesha mitandaoni

Comment za kuchekesha mitandaoni

ac1479a631344f9f8d0db2af86dc8a0a.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha ila usidhani ni uongo haya yanafanyika kabisa.

Nilishamfanyia mwanamke hivi ila nimekuja kugundua nilifanya unyama baada ya miaka 10 kupita.

Nilikutana naye kwenye daladala...nikampanga wee takaribani lisaa lizima mwisho akakubali. Tukaenda lodge.

Nikalipa pesa tukaingia tukaoga kisha tukafanya mambo.... kisha nikamwambia naenda kukuchukulia chakula nisubiri....

Nikapotea moja kwa moja. Huyo mwanamke na uhakika alinilaani maisha yake yote....ila anisamehee tu maana nilikuja kujutia.
 
Back
Top Bottom