Author
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 1,709
- 8,007
I see wanasema Wabongo tunaongoza kwa comment za kuchekesha zaidi mitandaoni...Sijui ni kweli?
Embu tupia comment ya kuchekesha ambayo umewahi kukutana nayo kwenye mitandao..
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu tupia comment ya kuchekesha ambayo umewahi kukutana nayo kwenye mitandao..
Sent using Jamii Forums mobile app