Comment za kuchekesha mitandaoni

Hahaha ila usidhani ni uongo haya yanafanyika kabisa.

Nilishamfanyia mwanamke hivi ila nimekuja kugundua nilifanya unyama baada ya miaka 10 kupita.

Nilikutana naye kwenye daladala...nikampanga wee takaribani lisaa lizima mwisho akakubali. Tukaenda lodge.

Nikalipa pesa tukaingia tukaoga kisha tukafanya mambo.... kisha nikamwambia naenda kukuchukulia chakula nisubiri....

Nikapotea moja kwa moja. Huyo mwanamke na uhakika alinilaani maisha yake yote....ila anisamehee tu maana nilikuja kujutia.
Looh!! Una roho ngumu we kaka
 
IMG-20200512-WA0038.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukizaliwa tanzania tayari kucheka ni zawadi umeshapewa maana mambo yanavyofanywa lazima utacheka tu na maengine yatakuhuzunisha sana
 
Hahaha ila usidhani ni uongo haya yanafanyika kabisa.

Nilishamfanyia mwanamke hivi ila nimekuja kugundua nilifanya unyama baada ya miaka 10 kupita.

Nilikutana naye kwenye daladala...nikampanga wee takaribani lisaa lizima mwisho akakubali. Tukaenda lodge.

Nikalipa pesa tukaingia tukaoga kisha tukafanya mambo.... kisha nikamwambia naenda kukuchukulia chakula nisubiri....

Nikapotea moja kwa moja. Huyo mwanamke na uhakika alinilaani maisha yake yote....ila anisamehee tu maana nilikuja kujutia.
wewe nawe umekua boya sasa kwani kuna kosa hapo ulilofanya ataenda kula kwao shuwaini ila nimependa ulichotenda mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom