Comment ya mke wangu imenifumbua macho.


Aisee!!
Na shimo ni nini, sufuria la mboga au? Leo lapikiwa samaki, kesho matembele.
 
Ukijua huuuuu wenzio wajua uleeeee ngoma draw! Mambo ya kuwekana roho juu kama bendera ya Taifa hatutakiiii. .sasa ni kanyaga twende.
 

duh! hapo mastress lazima yapungue
 

mbaya zaidi ameongea mbele yake! hii ni hatari sana.
 
Walahiiii???



 
Heeeiiiiiiii!!!!!!!!


 
Chinekeeeeeeee



 
matumizi kama kawaida japo mapenzi watamiss

tayar ni tatizo hapo kama unakubali kabisa mapenzi watamiss,na mapenzi n muhimu kuliko matunzo...
Ivo hakuna unaemkomoa hapo:smile-big:
 
matumizi kama kawaida japo mapenzi watamiss

tayar ni tatizo hapo kama unakubali kabisa mapenzi watamiss,na mapenzi n muhimu kuliko matunzo...
Ivo hakuna unaemkomoa hapo:smile-big:
Yeah am into it...sitaki kukaa hapa kusubir kulia lia kama toto dogo...nasubir nimkamte mtu hapa thn atasoma number
 
Ukijua huuuuu wenzio wajua uleeeee ngoma draw! Mambo ya kuwekana roho juu kama bendera ya Taifa hatutakiiii. .sasa ni kanyaga twende.

Kamata fursa twenzetu........... Ndoa ni tamu ukiijulia....... Plan B ndiyo mpango "Dumisha ndoa yako"
 
duh! hapo mastress lazima yapungue

venine siyo kupungua ni kuisha kabisa......... Mapenzi ya wizi matamuuuuuu unabinuliwa binuliwa mpk ukirudi home hata ugomvi na hubby huezi lol
 
Me wakati mwingne naona bora kuleteana magonjwa kuliko kuletewa,uko tu ndan umetulia na ukijtuma kama mke mwema wakat nje mwanaume anafanya yake..

hahahahaaaa best kupima inahusika sana ili ukigongwa ni full kujiachia...... Kula pipi na ganda inahuuu
 
wanawake wenzangu msithubutu KUACHANA NA WAUME ZENU KISA KIDUMU,TUNAGANDANA HIVYO HIVYO HAACHWI MTU HAPA.
NASEMA HIVI MAANA WANAWAKE TUNAKONDA KWA STRESS ZA VIMADA SAA NYINGNE HADI KITUKANWA,TUNASHUTIWA KWA RISAS NA FAMILIA ZETU PIA,TUNAKONDA KWA WIVU,UGOMVI KILA SIKU.
UKIFA WANAO UTAMWACHIA NANI?WAZAZ JE?UNAJIFANYA KULIA WWEE MWENZIO NDIO KWANZA ANAJIACHIA UKO NJUU NA LIKITAMBI LINAONGEZEKA.
FURAHA IKO MIKONONI MWAKO!NANI ALISHAWAH KULIA MUMEWE AKAACHA KUTOKA NJE?TENA NDIO ANAFIRAHI.
WENYE MAWASLIANO NA MAEX WAKATI NDIO HUU USILIE CHUKUA SIMU AND ASK FOR A DATE.
AMBAO HAMNA MAWASILIANO TAFUTA YATATBU ALAFU UONE KAMA AFYA HAIJARUD.
CHONDECHONDE CONDOM CONDOM OR KAMPANI NA HUG VINATOSHA MKITAKA KUJIVINJAR ZAIDI KUA.
STRCTLY;MARRIED COUPLE ONLY
 

Na sishangai kama ushabambikiwa na mtoto hapo. Ukija na kujua unalea mtoto wa kibaba mwenzio ndio utatia akili. Hawa wanawake wana maanisha wanachosema. Kua makini. Moshi pande zetu huko nilishuhudia kisa flan...baba mtu akipasuliwa jipu na mke wake kwamba mtoto anaetaka kumuozesha sio wake na kwamba hana mamlaka ya kupokea mahari ya huyo binti. Kila mtu alichoka na kuguna sana siku hiyo, watu walikua wapolee kama wamenyeshewa na mvua. Mwanamke alipasua hilo jipu baada ya kuona mme wake anatoka sana nnje ya ndoa. Noma Sanaaaa !!!!
 

ukiachwa ni kiherehere.......... Fursa ndani ya ndoa kibao......... Oleweni mkiwa mmejiandaa msistukizwe mkakimbilia kunywa sumu au kubeba mabegi........ Inahuuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…