BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,784
Sio miaka 100 ni kwamba hatatokea tena mtu mwengne comedian kama charlie champlinkwenye commedy iyachukua miaka 100 kutokea kama huyu
![]()
![]()
![]()
Sio miaka 100 ni kwamba hatatokea tena mtu mwengne comedian kama charlie champlinkwenye commedy iyachukua miaka 100 kutokea kama huyu
![]()
![]()
![]()
Thatz very true. In life kuna watu huzaliwa mara moja tu, Chaplin ni mmoja waokwenye commedy iyachukua miaka 100 kutokea kama huyu
![]()
![]()
![]()
Nying nishaziona za huyu bwana naona ni vitu vile vile tuMr.bean
kwenye commedy iyachukua miaka 100 kutokea kama huyu
![]()
![]()
![]()
Sio ojola ila ni marehemu Ochola!tafuta vioja mahakamani moja hivi inaitwa "marehemu ojola" iko YouTube..
Ahahaha thanx mkuu....ndio nimemchungulia sasa hiv jamaa ni shiiiida aiseee.kwenye commedy iyachukua miaka 100 kutokea kama huyu
![]()
![]()
![]()
hivi ni bubu au maana nilivoviona alikuwa haongei kabisa
Erico Omond...Churchil show is the best
ila nimeangalia comedy zake aisee ulaya wameendelea siku nyingi etiTecnologia ilikuwa bado.hizo zinaitwa enzi za SILENT MOVIES.
Mambo yalichange miaka ya 1930.Ipo ile ya THE GOLD RUSH unaweza kumsikia akiwa narrator.
ila nimeangalia comedy zake aisee ulaya wameendelea siku nyingi eti
Human right yake ilikwanguliwa kabisa na OCHOLA akabaki FLAT . !!!! Hawa jamaa vioja mahakamani sio kwamba wamekamilika kuwa ni wachekeshaji kwelikweli wa asili lakini bado vipindi vyao vinafundisha namna ya kutoa ushahidi mahakamani ninawahusudu sana ila sidhani kama wote wapo pamoja tena maana sioni clip zao mpya kwani zoote nimekwisha angalia na ninazoziona sasa hivi wale magwiji kama OLEXANDA ,ONDIEK LUKAKOTRA,ALFONCE MAKACHA DOT MAKOHA siwaoni kabisa sijui nini kimetokea.Sio ojola ila ni marehemu Ochola!
yaani miaka hyo ulaya wapo juu africa huku walikuwa bado msituni wanawasha moto kwa kusugua maweKuna za 1914
1914
1915 na kuendelea.
Ukitaka kuinjoi anza na The circus ya 1928.Iko poa sana.
tafuta modern times (1936) anaimbahivi ni bubu au maana nilivoviona alikuwa haongei kabisa
Champrin i thinkanaitwa nani mkuu niliona vituko vyake somewhere nikiwa nasafiri nilicheka kweli
Professor Hamo na Mc JesseErico Omond...
Uyu jamaa namkubali kichizi nashindwaga kuelewa ile tembea yake miguu dizaini kama inafyeka nyasi kama huwa anaigiza au ndo tembea yake ya kawaidakwenye commedy iyachukua miaka 100 kutokea kama huyu
![]()
![]()
![]()
Anaitwa Charles Chaplin jamaa ni noma mkuuanaitwa nani mkuu niliona vituko vyake somewhere nikiwa nasafiri nilicheka kweli