Mkomboi au shujaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nishachek animation za vichekesho nyingi sana. Ila sijaona iliyokonga moyo wangu kama muv ya sheriff RANGO
Huyu jamaa hadi mauti take ni comedy.... Kuna wahuni walifukua kabur lake kisha wakawaambia wanafamilia watoe kias fulani cha Pesa ili wapewe marehem wao...kwa msako wa polisi walidakwa lakini janga jingine wezi hao wakawa wamesahau mwili walipouficha wakaishia kukisia.....baada Siku kadhaa mwili ulipatikana na mazishi yakafanyika upya....Chaplin kazikwa Mara tatu (Mara ya kwanza baada ya mazishi....Mara ya pili waizi waliufukia mwili wake sehem kisha wakapasahau....Mara ya tatu baada ya kupatikana kwa mwili wakamzika upya)kwenye commedy iyachukua miaka 100 kutokea kama huyu
![]()
![]()
![]()