Come on Divas give us a break !


una uza??
 
Hahahahahah lol!!!! kwi kwi kwi kwi kwi "Baby nimekuletea mapera na ubuyu leo" Dah!!! watu mna maneno humu 🙂🙂

Siwezi kukuomba kitu ambacho sina uwezo nacho.
Na wewe kama waona 800k ni issue achana nae tafuta wa kuwahonga mapera.
Vaa kiatu size yako.
 
Tafuta wa saizi yako mambo ya kuhonga laki 8 waachie wenye uwezo huo
 
Sasa itakuaje! ! Bora amuache tu fulstop
 
Mkuu vaa kiatu saizi yako halafu kingine hao madem hakuna radha tofauti sana ya hao watu pengine uwe mshamba tu wa mademu tupa kule wapo wa kuhonga kuanzia kilo kushuka chini...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
yap..a au b inaweza kuwa majibu..no free cup of tea...mjini cha bure salamu tu

wanawake wenye njaa utawajua tu..mwanaume ndio wakumpa maisha bila hivyo.........!! dhiki mbaya sana.
 

Si aliona transaction, na mimi naomba laki 8🙈🙈🙈🙈🙈
 

Jikaze bana, hujazoea tu
 

Hahahaa, mwee hatarii
 
wanawake wenye njaa utawajua tu..mwanaume ndio wakumpa maisha bila hivyo.........!! dhiki mbaya sana.

take it whatever you like..wanaume hawa they are good for nothing mtu unampenda for real unampelekea papuchi yako kila wiki anasugua wee lakini mambo atakayokuja kukufanyia utashangaa..sasa imekaa hvi we si unanitumia na mie nakutumia vilevile yan pasu kwa pasu yan nichujuke bure mtoto wa watu kwa m.b.o.o. yako isiyo na shukrani wakat mwnngne hata hajagusa tu tayari anajua kuhudumia...sikupi bure ng‘o hizi sio enzi za ujamaa na hii si biashara ya kijiji.
 
Siwezi kukuomba kitu ambacho sina uwezo nacho.
Na wewe kama waona 800k ni issue achana nae tafuta wa kuwahonga mapera.
Vaa kiatu size yako.

Hakika.....we umemaliza kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…