Come on all guys! come oooon!!

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Oct 27, 2013
2,149
1,710
Mimi ni kijana mwenye falsafa za kimaisha na huwa napenda kuwashirikisha watu ama kwa kutoa mawazo au ushauri katika jambo lolote about Elimu, Dini, Historia, Siasa n.k ila pia najua kuna mambo ambayo nahitaji na mimi kujifunza kutoka kwenu ikiwemo masuala ya mahusiano, kuna vitu nahisi navikosa katika eneo hilo....... Napendelea kujenga mahusiano yenye nguvu na yawe mfano kwa wengine...... Ntahitaji kuwaalika ninyi marafiki mjumuike nami kwa yule ataejiskia (men & women) kwamba anaweza akaungana na mimi...... nice tym!
 
Ulivyoandka hiyo heading kama unanyetoka hivi!!
We unawaza maovu tu, hustahili kujibiwa kwa ulichosema, nna philosophy kidogo kichwani, mawazo yaliyopotoka hayastahili kujibiwa...... this is love and friend connect, nilichosema mimi ni kuwa na watu ambao ntaweza kujifunza kutoka kwao mambo muhimu muhimu niliyoorodhesha hapo juu... kama hujaelewa am sorry! hata mtihani sio wote lazima watapata mia kuna wengine hupata sifuri pia.... kuwa na mawazo chanya
 
this is love and friend connect, nilichosema mimi ni kuwa na watu ambao ntaweza kujifunza kutoka kwao mambo muhimu muhimu niliyoorodhesha hapo juu... yaani something lyk a friend connection, naweza kumuuliza kitu Fulani akanisaidia kupata majibu... and that's what I intended..... Kama hamjaelewa tena sorry! hata kwenye mtihani kuna mia na sifuri..... siku njema
 
Back
Top Bottom