The wrong generation for nice guys.

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
8,041
21,709
To all nice guys, these modern women doesn't want anything serious, they just wanna have fun.

Kama wewe ni nice guy tambua kwamba upo katika kizazi ambacho ni hatari kwa afya, akili na uchumi wako.

Kuna hii trend ambayo napendelea kuiita "partying and hoeing phase" haya ndio maisha ambayo wanawke wa kisasa wameyachagua wenyewe wanasema ndio uhuru.

Ukisikia mwanamke anasema haitaji kuolewa anataka muda wa kufanya mambo yake ujue hayo mambo anayoyaongelea ndio iyo partying and hoeing phase.

Partying and hoeing phase ni kile kipindi ambacho mwanamke anakua kwenye peak yake(kuanzia anapovunja ungo mpaka late twenties), hapa ego yake inakua juu na anakuwa delutional na fantasy nyingi sana.

During this phase a woman want to fuvk as many man as she wish to, she want to go any place at any time, she want to do all possible bad things on the earth without being accountable to anyone.

Sasa hapa shida ni kwamba nice guys huwa mnashindwa kwenda na flow ya hawa mabinti ndio maana mnaongoza kuumizwa ukilinganisha na sisi bad boys.

Sasa nice guys nisikilizeni kwa makini, ukikutana na mwanamke kama huyu usimuoe, usitengeneze nae mahusiano siriazi, usipoteze muda kumbadilisha au kumuelekeza cha kufanya kwa sababu hayo anayafanya anayaelewa na anafanya kwa hiyali yake.

Nini ufanye? wewe piga, mfanyie michezo yote ya kishenzi anayoitaka muda wako ukiisha achana nae, wapishe mabaharia wengine waje kuendeleza ulipoishia.

Tambua kwamba mwanamke huyo haitaji wewe umuokoe anachokita ni mchango wako katika yale mabaya anayoyafanya, so if you can't contribute in spoiling her, then avoid her from the first place.

Kama baba na mama ake wameshindwa kumuweka kwenye mstari hakuna ambacho wewe utafanya na kufanikiwa.
 
Kuna Ex wangu mmoja nilikuw natak nioe.. ila mambo yakaenda ndivy sivyo.. kila mtu akawa na 50 zake...

Sasa akawa ktk hiyo phase ya ku f*ck around kila siku nikichek status yupo viwanja.. pombe.. shisha.. night outs za kutosha..

Basi bhana.. nikawa nasubiri muda ufike.. mie nilibahatisha mtt mzr majuba mengi mtt hata harufu ya pombe haijui.. nikaweka ndani. Sasa huyu Ex wangu naona kabadirik siku hizi.. katulia, miksa kuvaa ushungi (kuna Mtu anaviziwa ajichanganye na yeye awekwe ndani)..

Ushauri kwa Wadada kama unafanya mambo fulani.. jitahidi usihusishe na social media.. MITANDAO haisahau your footprints zitabaki na siku mambo yamekukalia sawa watu wanafukua makaburi ya video zako ukiwa unavuta Mashisha na nguo nusu uchi.
 
sasa mwanamke kama uyo akienda sehemu ambayo hajulikani kuna mjinga atampigia magoti kumvalisha pete, atatoa mahari na kumuoa.

Ndio maana tunasisitiza sana umuhimu wa kuoa mwanamke uliemkuta bikira.
 
haha S.I.M.P = Sucker who Idolizes Mediocre Pvssy

Nini kifanyike mkuu mabinti waache kuvuta shisha na wakimaliza shule tu, wawe wanawaza ndoa?

Ukigundua tatizo, pendekeza na suluhisho sio kila siku unawaponda tu hushauri chochote....

Kama vipi waache tu usikute hata hawaumii wewe ndo unaumia kujisumbua sumbua.
 
Binafsi sina shida na izo tabia za wanawake wala sina mawazo kwamba wanajiumiza ivyo natakiwa kuwaokoa.

Mimi demu akijileta namkanyaga tu na michezo yote namfanyia, as long as sijamlazimisha mimi ni show show tu.

Shida yangu ni kuwasanua vijana wa kiume, ili waweze kuji-adjust kitaalamu kwenye mfumo.

Mifumo ya kijamii na kiuchumi na kosheria imetengenezwa katika namna ya kumnyonya mwanaume, usipokaa kitaalamu ukiangukia kwenye mikono ya lusifa umekwisha.
 
Wewe ni ndugu yangu wa damu huwa sina huruma ninapokuwa nawagongelea misuli huku wakibubujikwa na machozi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom