Collection yangu week hii...

Collection yangu week hii...

Mzungu ndo zake mwenzangu,hapati,haokoti,hachumi,hazalishi we kalaghabhaho,mkono mtu haulambwi
 
Nitalitafuta hili movie nimuone aliyeandika SCRIPT tu!

Movie Nzuri, trailer tayari imesisimua watu lukuki, lakini ninachohofia mimi ni tabia ya Serikali kukatakata baadhi ya scenes katika hiyo movie(kama enzi zileeeeeeee!) na matokeo yake tutakachokuwa tunaangalia katika majumba ya senema hakitakuwa na utamu halisi. Mimi nitafanya mpango niweze kupata original copy hata Black market kwa bei mbaya ili nipate utamu halisi!
 
Wakuu, Clinton amevaa nini kwenye wrist ya mkono wake wa kulia? Kuna mtu anaweza kuizoom hii picture atuambie?
 
Hugo_2008_Chris-Nkulo-and-Patience-Umeh,-Enugu,-Nigeria.jpg
 
Back
Top Bottom