Collection yangu week hii...

543590_407602879267228_1731958037_n.jpg




562649_407600775934105_1715410006_n.jpg




314097_407597179267798_139786776_n.jpg
 
Huyu Mbuzi Mzee imani yangu inaniambia kuwa hata akikuta mtoto katumbukia kwenye shimo la choo kabla ya kumuokoa atampiga picha kwanza ili ailete JF halafu ndio afanye mchakato mwingine.By the way nimekukubali mkuu na wewe ndio bingwa jukwaa la Jamii Photos.
 
Sasa Zimeanza


538807_400418789985637_767703786_n.jpg

Njemba ya Kulia: Umechakachua hela ya vinywaji wewe, hebu ona vilivopelea, leo utantambua!

Njemba ya Kushoto: Unanionea tu kwa sababu una 'mwili-jumba', mbona mweka hazina ni wewe mwenyewe?

kaz kwelkwel.
 
Hapa ndio napomchukia mzungu,wakati wa ubaguzi USA ndio ilikuwa mstari wa mbele kuisaidia serikali ya kibaguzi,na walipinga kabisa hatua za kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Afrika ya kusini,lakini baada ya weusi kushinda na kutokomeza ubaguzi bila visasi sasa hivi kila mtu anataka kujipendekeza kwa mzee Mandela.Ama kweli mtu mweupe siku zote hawezi kukuthamini kama hakuna anachonufaika nacho kutoka kwako..

VERY TRUE...HAPO UMEONGEA KABISA. WATU WEUPE WANAFIKI WAKUBWA NA OPPORTUNISTICs, KAMA HAKUNA KITU ANAPATA KUTOKA KWAKO, HUNA THAMANI MACHONI PAKE. I CAN'T STAND THEM.
 
Back
Top Bottom